Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9721 results for Mwandishi :

  1. Mkwasa asaka mrithi wa Edward Manyama

    KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Boniface Mkwasa amesema amekabidhi ripoti kwa uongozi wa timu hiyo na kuonyesha nafasi sita za usajili ikiwemo mrithi wa Edward Manyama aliyekuwa beki wao wa kushoto...

  2. Msuva azikwepa Simba, Yanga

    Mabingwa wa Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika Al Ahly (Misri), Es Tunis (Tunisia) na Wydad Casablanca (Morocco) ndio timu tatu pekee ambazo Barani Afrika ambazo hazitaanzia katika hatua ya...

  3. Mamelodi yachungulia nusu fainali Caf

    TIMU mbili kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimepoteza michezo yao nyumbani, huku mechi za pili zikionekana kuwa za moto zaidi.

  4. Bao la Luis Miquissone lamweka pabaya Pitso Ahly

    Kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Simba, Jumanne iliyopita kimemuweka katika wakati mgumu kocha wa Al Ahly, Pitso Mosimane ndani ya klabu hiyo kikionekana kutouridhisha uongozi wa timu hiyo.

  5. Mtanzania asaini minne kucheza Serbia

    Aliyekuwa nahodha wa timu ya Taifa chini ya miaka 17 katika michuano ya ya Mataifa Afrika Morice Abraham amesaini mkataba wa miaka 4 na klabu ya FK Spartak Subotica inayoshiriki Ligi Kuu ya...

  6. Safu ya ushambuliaji Yanga balaa

    YANGA imekamilisha usajili wa safu yao ya ushambuliaji baada ya kumleta nchini straika wao wa zamani Heritier Makambo ‘Mzee wa Kuwajaza’. Makambo aliyejipatia umaarufu kufuatia staili yake ya...

  7. Kazadi aisaka rekodi ya Nchimbi

    UNAKUMBUKA Ditram Nchimbi alicheza mwaka mzima bila kufunga bao katika Ligi Kuu Bara akiwa na Yanga? Sasa nyota wa Singida Big Stars, Francis Kazadi anaanza kuinyemelea rekodi hiyo kutokana na...

  8. Fri-kiki za Morrison balaa

    UNALIKUMBUKA lile bao la frii-kiki ambalo kipa, Aishi Manula alitunguliwa na winga Benard Morisson wakati huo akicheza katika kikosi cha Yanga kwenye mechi ya dabi duru la pili msimu iliyopigwa...

  9. GSM rasmi Yanga

    MFADHILI wa klabu ya Yanga, Ghalib Mohamed amewaongoza wanachama wa klabu hiyo kuanza kupokea kadi zao mpya za utambulisho wa wanachama huku naye akiwa mwanachama rasmi. Ghalib alipokea kadi...

  10. Manji rasmi Yanga, kuibukia mkutanoni Jumapili

    NI rasmi kwamba Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji yuko njiani kurejea Jangwani na Mwanaspoti limejiridhisha kwamba amelipia kadi yake ya uanachama Ijumaa iliyopita Jijini Dar es Salaam.

Previous

Page 249 of 973

Next