PRIME Bangala: Mrithi wa Mayele ana mtihani Yanga KUTOKANA na kiwango alichokionyesha Fiston Mayele ndani ya misimu miwili akiwa Yanga ni kama ameacha mtihani mkubwa kwa mrithi wake kuhakikisha anaisaidia klabu kwenye nyakati zinazohitaji majibu.
PRIME Kaze, Mkude wanukia Singida Big Stars TETESI ZA USAJILI KAZE - Wakati kocha wa Singida Big Stars, Hans Pluijm akitajwa kupewa mkono wa kwaheri, kocha msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze ndiye anatajwa anaweza kurithi mikoba yake. MKUDE...
Msonda gari limewaka, mjipange STRAIKA mpya wa Yanga, Kennedy Musonda mwishoni mwa wiki alifunga mabao mawili wakati timu hiyo ikiifumua Rhino Rangers kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho (ASFC) 7-0 na sasa ametuma salamu nzito...
Fifa yaikamua Yanga mamilioni WAKATI Simba ikisikilizia kesi yao ya kutakiwa kulipa Sh 294 milioni kwa kosa la kukiuka usajili wa winga wao wa zamani, Shiza Kichuya, Shirikisho la Soka duniani (Fifa) limeshusha rungu jingine...
Morrison arudi Yanga, apewa mshahara wa Chama UNAWEZA ukashangaa na kujiuliza maswali mengi, lakini ndio ukweli.Siku zinahesabika kabla ya Bernard Morrison ‘BM3’ kurejea Jangwani, klabu aliyokuwa akiichezea misimu miwili iliyopita kabla ya...
Kumbe Simba hawaiwezi Prisons TANZANIA Prisons imeendeleza ubabe wake kwa klabu ya Simba baada ya kushinda bao 1-0 mechi ya Ligi ya Vijana chini ya miaka 20 inayoendelea nchini. Bao hilo limefungwa Mwaka Mwakifuna dakika za...
Simba wakomaa na matuta hadi kieleweke MATOKEO ya sare kwenye mechi mbili mfululizo zilizopita za dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga katika Ligi Kuu Bara msimu huu, zimewafanya Wekundu wa Msimbazi kujiandaa kukabili hatua ya...
NBC yakabidhi zawadi kwa Bruno Gomes, kocha Pluijm Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambao ni mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League mwishoni mwa wiki ilikabidhi zawadi ya pesa na tuzo kwa mchezaji bora wa ligi...
Ndayiragije aiponza Geita Gold, yafungiwa SIKU chache tangu Biashara United kukutana na rungu na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa kufungiwa kusajili kwa madirisha mawili, nao Geita Gold yamewakuta kwa kuzuiwa kusajili hadi...
Saido: Tulieni tupige kaziiiii! STAA mpya wa Yanga, Saido Ntibazonkiza amewaambia mashabiki wa timu hiyo kwamba wala hawapaswi kupaniki na maneno ya mitandaoni kwani wao wachezaji wanajua nini cha kufanya.