Sh10.6 bilioni zimefanya Uwanja wa Gombani uwe hivi! "NAPENDA kuipongeza Serikali kwa juhudi zake katika ujenzi wa viwanja iwe vya wilaya au mkoa. Baada ya kusema hayo, sasa nitamke rasmi kwamba uwanja mpya wa Gombani nimeufungua rasmi. Asanteni...
Duh! Kumbe Amorim ndo hivi... RIPOTI za ndani zinadai kocha wa zamani wa Manchester United, Ruben Amorim alikuwa tayari kujiuzulu siku tatu kabla ya kufukuzwa kazi na alikuwa tayari hata kusamehe fidia ya Pauni 12 milioni...
Mashabiki wazuiwa kuingia Marekani MASHINDANO ya Kombe la Dunia la 2026 yamekumbwa na kikwazo kingine kikubwa baada ya mashabiki kutoka mataifa 15 yanayoshiriki mashindano hayo mambo yao ya viza kusubirishwa na Marekani chini ya...
Arteta alitaka zaidi ya matatu Carabao Cup KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema amekwazika kwa timu yake kushindwa kufunga mabao manne katika mechi ya nusu fanali ya michuano ya Carabao Cup dhidi ya Chelsea iliyomalizika kwa kushinda...
Liverpool yamwomba Mo Salah Misri LIVERPOOL italazimika imetuma maombi kwenda Misri kwa ajili ya kuipata haraka huduma ya mshambuliaji wao wa kimataifa wa Misri, Mohamed Salah, baada ya taifa lake kuwa tayari imetolewa kwenye...
Wagosi wapo tayari kwa vita Ligi Kuu Bara KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Mohammed Muya amesema wachezaji wa timu hiyo wapo tayari kuendeleza vita na ushindani mechi za Ligi Kuu Bara baada ya kurejea tena huku akitamba keshokutwa Jumamosi...
Pale Real Madrid kuna ‘utoto mwingi’ Kocha wa zamani wa Real Madrid Xabi Alonso aliwahi kuwaambia wazi wachezaji wake kuwa wanatabia za watoto wa chekeche, hali inayosababisha timu kuwa kwenye hali yao ya sasa.
Singida Black Stars kutumia mbili Bara kujiweka sawa Afrika KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesema mechi mbili za Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji na JKT Tanzania watazitumia kama njia ya kujiweka tayari kwa ajili pambano la michuano ya...
Ni Senegal, Morocco fainali Afcon 2025 WENYEJI wa mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025, Morocco wamefanikiwa kutinga fainali ya michuano hiyo baada ya kuichapa Nigeria kwa penalti 4-2 katika mchezo uliofanyika Rabat.