Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9707 results for Mwandishi :

  1. Cesc Fàbregas kocha bora SERIE A 2025/26 

    Kiungo wa zamani wa Arsenal na Barcelona, Cesc Fàbregas, ametunukiwa tuzo ya Kocha Bora wa Mwaka wa Ligi Kuu ya Italia (Serie A) kufuatia msimu wake wa kihistoria na wa kipekee akiwa na klabu ya...

    FABREGAS Pict
  2. Mayele aagana na Pyramids FC, atajwa Libya, Saudia

    Baada ya kuitumikia Pyramids FC kwa miaka imitatu, mshambuliaji Fiston Mayele ameiaga rasmi klabu hiyo huku akishindwa kuweka wazi ni klabu ipi atajiunga nayo.

  3. Bellingham aweka rekodi mpya England

    KIUNGO Jude Bellingham ameandika historia kwa kuwa Mwingereza wa kwanza kufunga mabao saba katika Kombe la Dunia moja, baada ya kufunga bao la mwisho katika ushindi wa mabao 6-4 dhidi ya Ufaransa...

    BELLINGHAM Pict
  4. Bukayo Saka afunguka, atupia hat-trick

    MSHAMBULIAJI Bukayo Saka ameibuka shujaa wa England baada ya kufunga mabao matatu na kuiongoza timu hiyo kutwaa medali ya shaba ya Kombe la Dunia kwa ushindi wa kusisimua wa mabao 6-4 dhidi ya...

    SAKA Pict
  5. Hossam: Misri haimtegemei Salah

    KOCHA wa timu ya taifa ya Misri, Hossam Hassan, amesema kikosi chake hakiwezi kumtegemea nyota Mohamed Salah kuelekea mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana'.

    HOSSAM Pict
  6. Argentina yaichakaza Burkina Faso

    Argentina imepata ushindi mnono wa mabao 7-0 dhidi ya Burkina Faso katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Monumental, Buenos Aires.

  7. Wapinzani wa Simba, Ligi ya Mabingwa Afrika hadharani 

    Timu ya FC 15 de Agosto ya Guinea ya Ikweta imefanikiwa kutinga hatua ya pili ya mchujo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, ambapo sasa itakutana na Simba.

  8. Haaland azua hofu Man City

    MSHAMBULIAJI Erling Haaland amewaacha Manchester City na presha baada ya kuomba kutolewa katika mchezo wa Norway dhidi ya Ureno, huku hali yake ikiwa haijafahamika baada ya kuonekana akichechemea.

    HAALAND Pict
  9. Barcelona yampa pigo Rashford

    BARCELONA imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Karim Adeyemi, kwa ada inayoweza kufikia euro milioni 31 (pauni milioni 26.5).

    ADEYEMI Pict
  10. Man City wamvizia Pedro Neto

    LICHA ya dirisha la usajili kuendelea kupamba moto, mabingwa wa England, Manchester City, wameanza kupanga maisha baada ya kuondoka kwa baadhi ya wachezaji wao wa pembeni kwa kumweka nyota wa...

    PEDRO Pict
Previous

Page 238 of 971

Next