Mainoo apotezea dili la Napoli LICHA ya tetesi za awali kuhusu uwezekano wa kutolewa kwa mkopo kwenda Napoli, kiungo chipukizi wa Manchester United, Kobbie Mainoo, 20, anatarajiwa kubaki ndani ya kikosi cha mashetani hao...
Klopp hajafunga mlango wa kutua Real Madrid KOCHA Jurgen Klopp amekiri kuwa hawezi kuondoa uwezekano wa kurejea katika ukocha baada ya kuhusishwa na klabu ya Real Madrid.
Jesus ampa Gyokeres maujanja ya kutoboa GABRIEL Jesus ni mmoja wa wachezaji saba tu wa Arsenal wanaojua maana ya kushinda ubingwa. Lakini ndiye pekee aliyewahi kushinda taji la Ligi Kuu England kwenye kikosi hicho cha Emirates.
Beki Guehi analipwa kibosi Man City BEKI wa kati, Marc Guehi amekuwa mchezaji wa pili anayelipwa mshahara mkubwa zaidi Manchester City baada ya kujiunga na klabu hiyo.
Brahim Diaz afunguka kuhusu penalti yake STAA wa Morocco, Brahim Diaz amevunja ukimya kuhusu penalti aliyopiga kwenye mchezo wa fainali ya Afcon 2025 baada ya madai kuwa aliikosa kwa makusudi.
Rais FIFA... Hili la Senegal lichukuliwe hatua ISHAKUWA soo. Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya soka (FIFA), Gianni Infantino, amelitaka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuchukua hatua kutokana na kile alichokiita 'matukio mabaya'...
Makonda aihakikishia FIFA ushirikiano katika michezo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amekutana na kufanya mazungumzo na rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) Gianni Infantino katika ofisi za FIFA zilizopo...
Tanzania yapanda nafasi mbili viwango vya ubora FIFA Kutinga hatua ya 16 bora ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zilizofikia tamati huko Morocco juzi Jumapili, kumeonekana kuibeba Taifa Stars.
Toure atua Msimbazi, Chama ni suala la muda Habari kutoka chanzo cha uhakika ndani ya Simba, imethibitisha kuwa tayari imeshafikia makubaliano na kiungo huyo na tayari ameshasaini mkataba wa mwaka mmoja.
Pamba Jiji yang'oa kitasa Mbeya City UONGOZI wa Pamba Jiji umemalizana na aliyekuwa beki wa kati wa Mbeya City, Gabriel Mwaipola ambaye anaenda kuziba pengo la Abdallah Kheri 'Sebo' aliyetimkia Singida Black Stars.