Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9704 results for Mwandishi :

  1. UEFA kumbakiza Bruno Old Trafford

    MANCHESTER United United inaamini kufuzu kwao kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya kutatosha kumshawishi nyota wao Bruno Fernandes kuendelea kubaki katika viunga vya Old Trafford na kuondoa uwezekano...

  2. Toni Kroos kufuata nyayo za Zidane Real Madrid 

    KIUNGO gwiji wa zamani wa timu ya taifa ya Ujerumani, Toni Kroos, anaripotiwa kuwa mbioni kurejea kwa hisia ndani ya klabu ya Real Madrid ikiwa ni miezi michache tangu atangaze kustaafu soka.

    KROOS Pict
  3. Salah aipa Liverpool matumaini

    LIVERPOOL ina matumaini nyota wao Mohamed Salah atarejea uwanjani kabla ya kuondoka mwishoni mwa msimu huu.

    SALAH Pict
  4. Casemiro ang’ang’ania kuondoka Man United mwisho wa msimu

    KIUNGO mkongwe wa Manchester United, Casemiro ameweka wazi hatma yake kwa kusisitiza kuwa hatabadili uamuzi wake wa kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu, licha ya wito kutoka kwa...

  5. Simeone: Tumebadili hoteli ili kubana matumizi, sio ushirikina

    KOCHA wa Atletico Madrid, Diego Simeone, amepuuza madai kuwa alibadili hoteli ya timu hiyo jijini London kutokana na imani za kishirikina, akisisitiza kuwa uamuzi huo ulilenga kuokoa fedha za klabu.

    SOMIONE Pict
  6. Man United yamaliza utata dili la Bruno

    MANCHESTER United imechukua hatua kuhakikisha inamaliza sintofahamu kuhusu mustakabali wa nahodha wao wa raia wa Ureno, Bruno Fernandes.

    BRUNO Pict
  7. Lamine hatarani kukosa Kombe la Dunia 2026

    STAA wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania, Lamine Yamal huenda akashindwa kushiriki michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu baada ya kupata majeraha yaliyosababishwa atolewe Uwanjani huku...

    YAMAL Pict
  8. Tchouameni aomba radhi baada ya ugomvi wa Valverde

    SIKU moja baada ya taarifa ya Federico Valverde kufuatia ugomvi kati yake na Aurélien Tchouameni huko Valdebebas, Hispania, kiungo huyo wa Ufaransa amevunja ukimya kupitia ujumbe mzito kwenye...

  9. Iran yakamia Kombe la Dunia 2026

    SHIRIKISHO la Soka la Iran limethibitisha rasmi timu ya taifa ya nchi hiyo itashiriki mashindano ya Kombe la Dunia mwaka huu, licha ya mvutano mkubwa wa kisiasa na kijeshi unaoendelea katika...

    IRAN Pict
  10. Winga Mzambia atoka hospitali baada ya kuzirai uwanjani

    Winga wa Zambia, Lameck Banda, amerejea nyumbani salama baada ya kupata tatizo la moyo wakati wa mechi ya Serie A kati ya Lecce na Napoli.

Previous

Page 232 of 971

Next