Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

656 results for Victoria Melkiad :

  1. PRIME Beki Mazembe afichua dili lake Yanga

    ENEO la ulinzi katika kikosi cha Yanga limekuwa moto kama ilivyo pale mbele ambapo kuna mashinde za mabao zinazowapa raha mashabiki wa timu hiyo yenye makao yake mitaa ya Twiga na Jangwani jijini...

    KEITA Pict
  2. PRIME Fadlu ageuka mbogo Simba, acharukia mastaa

    KOCHA wa Simba, Fadlu Davids amegeuka mbogo kwa kuwacharukia mastaa wa timu hiyo kutokana na matokeo ya mechi nne za viporo vya Ligi Kuu Bara, akiwakumbusha pia kazi iliyopo mbele yao katika...

  3. PRIME Inonga aleta kizaazaa Yanga, mabosi wagawanyika

    DILI la beki wa kati wa zamani wa Simba anayekipiga FAR Rabat ya Morocco, Henock Inonga kutua Yanga limeibua mvutano mkali baada ya kutokea mgawanyiko kwa mabosi wa klabu hiyo, huku baadhi...

    INONGA Pict
  4. PRIME MINZIRO: Hiki ndicho kinaua timu ndogo

    KATIKA ulimwengu wa soka usajili wa wachezaji ni miongoni mwa vipengele muhimu vinavyoamua mafanikio ya timu au kufeli. Timu kubwa mara nyingi huwa na uwezo wa kifedha na rasilimali nyingi za...

  5. PRIME Dabi ya Kariakoo yapelekwa mkutano mkuu Yanga

    BAADHI ya wanachama wa Klabu ya Yanga wamefikia hatua ya kuiandikia barua Kamati ya Utendaji kuomba kufanyika mkutano mkuu wa dharura kabla ya Juni 15, mwaka huu.

  6. PRIME Kisa Yanga, Simba yaweka mzigo mezani

    VITA iliyopo hivi sasa kati ya Simba na Yanga katika Ligi Kuu Bara imemfanya kigogo mmoja wa Wekundu wa Msimbazi kuweka mzigo mezani kuhakikisha timu yao inafikia malengo.

  7. PRIME Mzize aitaka Ulaya, awakataa Waarabu

    DILI kibao zimetua mezani kwa mabosi wa Yanga kutoka timu zinazotaka kumsajili mshambuliaji Clement Mzize zikiwamo kutoka Afrika Kaskazini, Saudia Arabia na Ulaya, lakini straika huyo mwenye...

    MZIZE Pict
  8. Pacome ampa mzuka Hamdi

    ALIANZA kurejea Khalid Aucho, lakini kambini Yanga mzuka umeongezeka baada ya nyota wengine wawili waliokuwa majeruhi, kiungo mshambuliaji Pacome Zouzoua na straika Kennedy Musonda kurejea...

  9. PRIME Berkane yatuma wanne Dar

    MAMBO yameanza kuchangamka baada ya RS Berkane ya Morocco itakayocheza na Simba katika mechi mbili za fainali za Kombe la Shirikisho Afrika kudaiwa kutuma watu wanne ili kuja nchini kuisoma ikila...

  10. PRIME Simba yamganda kiungo Sfaxien

    MABOSI wa Simba wamemganda kiungo wa CS Sfaxien ya Tunisia, Balla Moussa Conte baada ya kufanya naye mazungumzo na sasa wanasikilizia uamuzi wa mwisho wa klabu anayoichezea ili atue Msimbazi...

Previous

Page 3 of 66

Next