Search

863 results for Saddam Sadick :

  1. JIWE LA SIKU: Sababu vifo vya ghafla kwa wachezaji uwanjani

    IDADI ya vifo kwa wachezaji kufia uwanjani inazidi kuongezeka nchini huku wadau na wataalamu wa afya wakielezea sababu na namna ya kuepukana na matukio hayo ili kulinda afya zao. Kwa miaka 10 ya...

  2. Kipa Ihefu akubali yaishe, amsikilizia Maxime

    ALIYEKUWA kipa namba moja wa Ihefu FC, Fikirini Bakari amekubali upinzani alioupata dhidi ya mwenzake kikosini, Khomein Aboubakari aliyesajiliwa dirisha dogo kutoka Geita Gold akisema analazimika...

  3. Kilichomuua aliyefia uwanjani chatajwa

    JUZI vilio na simanzi vilitawala katika kijiji cha Shiwinga wilayani Mbozi mkoani Songwe wakati wa mazishi ya mchezaji yaliyofanyika jana, Belle Mgala aliyefia uwanjani, huku chanzo...

  4. Mmoja afariki, wengine wajeruhiwa ajali za Simba na Yanga

    MASHABIKI wa klabu za soka za Simba na Yanga, wamepata ajali katika maeneo tofauti alfajiri ya leo na taarifa za kipolisi zimethibitisha mtu mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa...

  5. Mchezaji mwingine afariki dunia uwanjani

    “Ulipigwa mpira wa juu sasa ile anaruka, beki wa Super Eagle akamkingia mgongo ndio akadondoka na kupoteza fahamu, tulipompeleka kituo cha Afya Isense wakasema tumpeleke Mbozi Mission ambako...

  6. Simba, Yanga zapewa mchongo CAF

    WAKATI Simba na Yanga zikiendelea kuchora ramani ya kuwamaliza wapinzani wao kwenye michezo ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, nyota wa zamani wa timu hizo, Willy Martin ‘Garikubwa’ amewapa...

  7. Tanzania Prisons moto ni uleule

    WAKATI Tanzania Prisons ikirejea kambini leo Jumatatu, kocha mkuu wa timu hiyo, Ahmad Ally amesema anatarajia kasi yao itakuwa ileile huku akipigia hesabu pointi tatu za KMC ili kusaka nafasi...

  8. Chanongo azidi kuwa mtamu

    WAKATI Straika mkongwe, Haruna Chanongo akiendeleza makali Pamba Jiji, benchi la ufundi limesema haijaisha mpaka iishe likiahidi Ligi Kuu msimu ujao ni uhakika. Pamba imekuwa na miaka kibao bila...

  9. KenGold sherehe za Ligi Kuu zimeanza

    ‘ANZENI kushona suti’. Ni neno alilotamka Kocha Mkuu wa Ken Gold, Jumanne Challe akielezea safari yao ya matumaini ya kucheza Ligi Kuu msimu ujao, huku akisaka pointi tatu tu kati ya mechi nne...

  10. Likizo ya mtego makocha 10 Bara

    WAKATI Ligi Kuu ikiwa imesimama kwa muda kupisha kalenda ya Fifa, jumla ya timu 10 zipo mtegoni huku presha ikiwa kubwa kwa makocha katika vita ya kukwepa kushuka daraja kufuatia matokeo...

Previous

Page 3 of 87

Next