Ancelotti atajwa kutua Saudia KOCHA wa Real Madrid, Carlo Ancelotti huenda akatimkia Saudi Arabia licha ya hivi karibuni kudaiwa kufikia makubaliano ya kuchukua mikoba ya kuifundisha timu ya taifa ya Brazil.
Bruno Fernandes akataa kichaka cha Europa NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes anaamini kushinda Europa League hakutobadilisha ukweli, msimu huu kwao ulikuwa ni mbaya.
Alexander-Arnold kubadili upepo Liverpool BEKI kisiki wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold ambaye anadaiwa atajiunga na Real Madrid mwisho wa msimu huu, mkataba wake utakapomalizika, huenda mambo yakabadilika na akabaki kwa mujibu wa...
Wakala wa Gyokeres kutua London WAKALA wa mshambuliaji wa Sporting Lisbon, Victor Gyokeres anatarajiwa kutua London, mwezi ujao kufanya mazungumzo na baadhi ya timu zinazohitaji huduma ya mchezaji wake.
PRIME Mazito yaibuka mastaa Ligi Kuu kubeti, vita ngazi zote makocha wafunguka -2 JANA tulianza kuchapisha makala za ripoti ya kuangalizia jinsi wachezaji, viongozi na watu wao wa karibu wanavyojihusisha na suala la uchezaji kamari kwenye mechi za Ligi Kuu Bara, ambapo tuliona...
Nkuku anavyotolewa macho viunga vya Arsenal ARSENAL inafikiria kumsajili straika wa Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa, Christopher Nkunku, 27, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa ni katika lengo la kuboresha safu ya...
Chelsea yapewa uwanja London MKURUGENZI wa shirikisho la mchezo wa Rugby England, Bill Sweeney, yupo tayari kuwaruhusu Chelsea kutumia Uwanja wa Twickenham wakati wanaufanyia maboresho uwanja wao wa Stamford Bridge.
Klopp aitaka Real Madrid, Ujerumani RAFIKI wa karibu wa Jurgen Klopp, Miroslav Tanjga amedai kocha huyo anataka kuifundisha Real Madrid na timu ya taifa ya Ujerumani kabla ya kustaafu.
Pogba? Subirini kidogo STAA wa zamani wa Juventus, Paul Pogba amezungumza kuhusu wapi anaweza kutua katika dirisha lijalo akisisitiza kwamba hadi sasa mambo bado.
Mikel Obi afichua usajili wa Osimhen RAFIKI wa Victor Osimhen ambaye ni mchezaji wa zamani wa Chelsea, John Obi Mikel amesema staa huyo anatamani na anataka kucheza Chelsea licha ya tetesi zinazodai kwamba yupo karibu kutua...