Search

112 results for Mwandishi Maalum :

  1. PRIME Morrison pasua kichwa

    aliibuka mbele ya kamera alipoambiwa wanafanya mahojiano, akauliza mmeanza wakajibu ndio, kilichofuata ni hiki. Japokuwa Kiswahili cha Morrison hakijanyooka alisema: “Gaizi tusikate tamaa...

  2. China yaipongeza Yanga

    YANGA imeendelea kupokea salamu za pongezi ambapo China nayo imetoa pongezi zake kufuatia timu hiyo kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

  3. Rais Samia aenziwa Ligi Kuu Marekani

    MASHABIKI wa soka  takribani 31,620 waliohudhuria mechi ya Ligi Kuu ya Soka ya Marekani na mamilioni zaidi duniani waliokuwa wakitazama live mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City...

  4. Kwa Mkapa patanoga

    KATIKA toleo lililopita tuliona jinsi kamati maalum yakukagua maandalizi ya michuano ya Super 8 ya CAF, itakayozihusisha klabu kubwa zinazofanya vizuri Afrika na zenye mashabiku wengi...

  5. MAKALA MAALUM ANGUKO LA TP MAZEMBE: Baada ya kuokoteza wachezaji, Katumbi ashindwa kuiokoa-5

    KATIKA toleo lililopita tuliona jinsi rais wa TP Mazembe, Moise Katumbi alivyoikimnia nchi baada ya kuonesha nia ya kugombea urais wa DRC mwaka 2016. Laurent Kabila alipofariki dunia na nafasi...

  6. MAKALA MAALUM ANGUKO LA TP MAZEMBE: Mihela yamwagwa kwa mastaa -4

    Katika toleo lililopita tuliona jinsi hali ilivyoanza kubadilika ndani ya klabu ya TP Mazembe lakini ghafla siasa za nchi zikaharibu mambo. Katika toleo hili tutaona kilichofuata baada ya pale.

  7. Kwa Mkapa kisasa zaidi, kuanza kuboresha haya...

    ajili ya kuwapa huduma ya kwanza wachezaji pamoja na waamuzi. Imesema ofisi hiyo inatakiwa kuwa na; Meza moja, vifaa maalum kwa ajili ya matibabu ya dharura vifaa kwa ajili ya upasuaji...

  8. MAKALA MAALUM: Anguko la TP Mazembe -3

    KATIKA sehemu iliyopita tuliona ni namna gani siasa za nchi, kukosa udhamini na siasa za ndani za klabu ziliposababisha anguko la kwanza la TP Mazembe. Katika toleo la leo, tutaona namna ujio wa...

  9. MAKALA MAALUM: Anguko la TP Mazembe - 2

    Katika toleo lililopita, tuliona historia ya klabu ya TP Mazembe kuanzia mwanzo wake, maana ya jina lake na mafanikio yake ya miaka ya 1960 na mwanzoni mwa miaka ya 1970. Leo tutaangalia anguko...

  10. MAKALA MAALUM: Anguko la TP Mazembe -1

    MWAKA 2010, klabu ya TP Mazembe kutoka Lubumbashi, DRC, ililiwakilisha vyema Bara la Afrika na kufika fainali ya klabu bingwa ya dunia. Wapinzani wao kwenye mchezo wa fainali walikuwa Inter...

Previous

Page 3 of 12

Next