TUONGEE KISHKAJI: Mashabiki wa Tanzania wana cha kujifunza Trace 2025
TRACE Awards 2025 zilifanyika Zanzibar, Tanzania, wiki hii, lakini ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kinachoongelewa ni nini? Ni kwamba wasanii wa Tanzania walitumbuiza vibaya, hovyo kabisa.