Rashford mambo si mambo Barcelona STAA Marcus Rashford amekutana na wakati mgumu katika mechi yake aliyoanzishwa kwa mara ya kwanza na Barcelona kwenye La Liga baada ya kutolewa kipindi cha kwanza huku timu hiyo ikiwa nyuma kwa...
Waarabu warudi tena kwa Bruno Fernandes NAHODHA wa Manchester United, kiungo fundi wa boli, Bruno Fernandes amewekwa tena kwenye rada za Al-Ittihad ya Saudi Arabia ikihitaji huduma yake kabla ya dirisha hili la majira ya kiangazi...
Enrique apata ajali ya baiskeli, kufanyiwa upasuaji KOCHA wa Paris Saint-Germain, Luis Enrique alilazimika kuwahishwa hospitalini baada ya kupata ajali ya baiskeli na kuumua mfupa wa mabega.
Jux, Priscilla wapata mtoto wa kiume, ataitwa Prince Rakeem Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Juma Mkambala 'Jux' na mke wake Priscilla wamebarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wakiume aliyezaliwa huko nchini Canada na kumpatia jina la Rakeem Ayomide...
Huyo Cristiano Ronaldo ni mabao tu SUPASTAA, Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya soka kufunga mabao 100 au zaidi katika klabu nne tofauti, lakini bado ameshindwa kuisaidia timu yake kubeba taji la Saudi...
Real Madrid yavamia kwa Wharton REAL Madrid imeingia kwenye mbio za kufukuzia saini ya staa wa Crystal Palace, Adam Wharton kwa mujibu wa taarifa kutoka Marekani.
De Ligt: Amorim? tupo naye BEKI wa kati wa Manchester United, Matthijs de Ligt amesisitiza wachezaji wa timu hiyo wanampa sapoti kubwa Kocha Ruben Amorim na wanamtaka abaki.
Garnacho atupa kijembe Man United STAA Alejandro Garnacho amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kujiunga na Chelsea akijaribu kuwaambia Manchester United kile ambacho watakosa baada ya kutua zake Stamford Bridge.
Mcongo anyemelewa, Dodoma Jiji ikiachana na Mexime Mmoja wa watu wa karibu wa Kizmak ameiambia Mwananchi Digital kuwa kocha huyo raia wa DR Congo amefikia mahali pazuri katika mazungumzo yake na Dodoma Jiji FC.
Alisson aondoka kambini Liverpool KIPA wa Liverpool, Alisson Becker ameripotiwa kuondoka kwenye kambi ya timu hiyo katika ziara yao ya pre-season huko Asia kutokana na kuwa na matatizo binafsi.