Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8526 results for Mwandishi Wetu :

  1. Barcelona ina jambo na Haaland

    BAECELONA imesisitiza kwamba ina fedha za kutosha kuwasilisha ofa kwenda Manchester City kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa klabu hiyo na timu ya taifa ya Norway, Erling Haaland, endapo...

  2. Ruben Amorim aitwa Brazil

    VIGOGO wa soka nchini Brazil, Vasco da Gama, wanaripotiwa kuwa katika mazungumzo na kocha Ruben Amorim ili kumwajiri awe kocha wao mpya.

  3. Wakala wa Wirtz atoa kauli nziti kumuhusu Xabi Alonso

    WAKALA wa kiungo mshambuliaji wa Liverpool, Florian Wirtz, Volker Struth, ametoa kauli nzito kuhusu kocha Xabi Alonso alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari vya Ujerumani.

  4. Noti zamwagika Man United

    HATUA kali za kupunguza gharama za matumizi zilizoanzishwa na tajiri wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe zimezaa matunda makubwa na kuzalisha faida katika kikosi cha mashetani wekundu.

  5. Kundemba, Vuga ngoma droo Masauni & Seif Cup

    TIMU za Kundemba na Vuga zimeanza kwa suluhu katika mechi ya uzinduzi wa michuano maalumu ya Masauni & Seif Cup iliyoanza juzi kwenye Uwanja wa Mnazi Mmoja, mjini Unguja, ikishirikisha jumla...

  6. 16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya, Courtois anaitaka Man City 

    KIPA wa Real Madrid, Thibaut Courtois, ametabiri kuwa kikosi chao kitakutana na Manchester City katika hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulayua, kupitia droo itakayofanyika kesho Ijumaa.

    UEFA Pict
  7. Nsajigwa akiri ana kibarua kizito

    SAA chache tangu awaage wachezaji aliofanya nao kazi Transit Camp, Kocha Shadrack Nsajigwa 'Fuso' amekiri ana kazi kibarua kikubwa cha kufanya kuhakikisha timu anayokabidhiwa inarudi kwenye...

  8. Kocha wa viungo Morocco afichua maumivu aliyopitia Brahim Diaz

    Kocha wa viungo wa timu ya taifa ya Morocco, Eduardo Dominguez, amefunguka kuhusu athari za kihisia alizopitia nyota wa timu hiyo, Brahim Diaz, baada ya kukosa penalti katika mechi ya fainali ya...

    DIAZ Pict
  9. Msako wa kocha Burkina Faso, Steve McClaren achomoza

    ALIYEKUWA kocha wa timu ya taifa ya England na klabu kadhaa za Ligi Kuu nchini humo, Steve McClaren, ameripotiwa kuingia katika orodha ya mwisho ya wagombea wa nafasi ya kuifundisha Burkina Faso.

    BURKINA Pict
  10. Utamu wa UEFA umefikia hapa, Atalanta ikiishangaza Dormtund

    JANA Jumatano zimechezwa mechi nne za mtoano katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kukamilisha idadi ya timu 16 ili kuanza mchakamchaka wa hatua inayofuata kwenye michuano hiyo. Hiyo ni baada ya juzi...

Previous

Page 194 of 853

Next