Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9684 results for Mwandishi :

  1. Rodrygo kuzua vita kali England

    STAA wa Kibrazili, Rodrygo yupo tayari kuachana na Real Madrid baada ya kuona anawekwa kando huku klabu hiyo ikionekana kuweka upendeleo kwa wachezaji Jude Bellingham na Kylian Mbappe.

  2. Man City kuvunja rekodi kwa Wirtz

    KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola afanya mazungumzo na kiungo mchezeshaji Florian Wirtz wakati miamba hiyo ya Etihad ikitaka kuweka rekodi ya kumnasa Mjerumani huyo kwa Pauni 126 milioni.

  3. Gyokeres kasema kitu Arsenal ikimtaka

    STRAIKA, Viktor Gyokeres amevunja ukimya baada ya Arsenal kumfanya kuwa chaguo la kwanza kwenye usajili wa dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi.

    GYOKERES Pict
  4. De Bruyne moja haikai, mbili haikai

    KIUNGO fundi wa mpira, Kevin De Bruyne ameripotiwa kwamba bado hajafanya uamuzi wa mwisho kama atakwenda kuichezea Manchester City kwenye michuano ijayo ya Kombe la Dunia la Klabu mwezi ujao.

    KDB Pict
  5. Tajiri Man United amtega Amorim

    MMILIKI mwenza wa Manchester United, bilionea Sir Jim Ratcliffe yupo tayari kumpatia kila kitu kocha Ruben Amorim ili kuibadili timu hiyo lakini anachotaka ni uhakika kwamba Mreno huyo anabaki.

    TAJIRI Pict
  6. Guardiola kubeba wawili kwa Pauni 180 milioni

    NDO hivyo. Manchester City ipo tayari kutumia Pauni 180 milioni ili kuwanasa Florian Wirtz na Tijjani Reijnders kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia la Klabu mwezi ujao.

    GUARDIOLA Pict
  7. Kete ya mwisho WPL leo, matokeo kuamua bingwa

    MZUNGUKO wa mwisho wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) msimu wa 2024-2025 unahitimishwa leo Mei 20, 2025 kwa mechi tano kuchezwa huku Mlandizi Queens na Gets Program zikiwa tayari zimeshuka daraja.

  8. Mastaa wa kuokota Ligi Kuu England

    KLABU za Ligi Kuu England zitakuwa bize kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi, huku kukitarajiwa kuwapo na dili kibao za wachezaji wa bei chee.

    MASTAA Pict
  9. Slot aachiwa Florian Wirtz mwenyewe tu

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amepata nguvu mpya kwenye msako wao wa kumnasa kiungo mshambuliaji, Florian Wirtz baada ya Manchester City kujiondoa kwenye mchakato huo.

    SLOT Pict
  10. Arsenal mpo? Msikieni ndugu yake Gyokeres

    MMOJA wa wanafamilia ya straika Viktor Gyokeres amedai anaamini staa ataendelea kubaki kwenye kikosi cha Sporting CP licha ya kuhusishwa kwenda Arsenal.

Previous

Page 190 of 969

Next