Guadiola anawaza Top Four tu basi PEP Guardiola amekiri kushindwa kuwapo kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao litakuwa ni tatizo, lakini hiyo haina maana kwamba ni mwisho wa makali ya Manchester City.
Arteta namba zinatosha MIKEL Arteta ametimiza mechi 200 za Ligi Kuu England tangu alipochukua mikoba ya kuinoa Arsenal mwaka 2019 – lakini rekodi zake zinachuana vipi na makocha wanaotajwa kuwa manguli kwenye historia...
Tuchel amkumbusha Kane yeye ni straika KOCHA wa England, Thomas Tuchel amesema anatarajia kumwona straika Harry Kane kucheza eneo la kushambulia na si kwenye safu ya kiungo kama ambavyo alikuwa akitumika huko nyuma kwenye baadhi ya...
Huko Ulaya ni weka niweke kwenye ligi MAMBO ni moto leo huko kwenye Ligi Kuu za Ulaya na mchakamchaka ni kila kona, ikianzia kwenye La Liga ambako Real Madrid ya Kylian Mbappe itakuwa nyumbani Jumamosi kukipiga na Valencia, kabla ya...
De Bruyne aaga zake Man City KIUNGO mshambuliaji Kevin De Bruyne amethibitisha kwamba ataachana na Manchester City mwishoni mwa msimu huu baada ya kuwapo kwenye klabu hiyo kwa muongo mmoja.
Arteta ataja sababu kuukosa ubingwa EPL KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amedokeza kuwa majeraha na kadi walizokutana nazo msimu huu ni sababu ya timu hiyo kuukosa ubingwa wa Ligi Kuu England.
Lewandowsk kuikosa El Classico STRAIKA wa Barcelona, Robert Lewandowski anatarajiwa kuukosa mchezo wa El Classico dhidi ya Real Madrid baada ya kupata majeraha ambayo yatamweka nje kwa Zaidi ya wiki tatu.
Cunha, Man United kuna kitu kinakuja BABA mzazi wa Matheus Cunha amezidisha uvumi wa kuhusu mwanaye kwenda kujiunga na Manchester United dirisha lijalo la majira kiangazi kutokana na kile alichokiposti kwenye mitandao ya kijamii.
Slot anahitaji mshambuliaji Liverpool LIVERPOOL wamepanga kusajili mshambuliaji katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa ndio kipaumbele cha kwanza cha kocha wa timu hiyo Arne Slot.
Kisa kipigo, Ronaldo aongea peke yake STAA wa Al Nassr, Cristiano Ronaldo alionekana akijizuia kulia huku akiongea mwenyewe na kuonyesha ishara ya mikono baada ya Al-Nassr kuondolewa katika michuano ya Klabu Bingwa barani Asia juzi.