Yamal kuharibu mipango ya Arsenal STAA wa Barcelona, Lamine Yamal anadaiwa kuwa kutibua mipango ya Arsenal katika harakati za kutaka kumsajili winga wa Athletic Bilbao na timu ya taifa ya Hispania, Nico Williams kwenye dirisha...
Inter Milan yainyemelea nusu fainali Ulaya, yaibanjua Bayern Inter Milan imejiweka katika mazingira mazuri ya kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Bayern Munich jana.
Ngorongoro Heroes yapangwa na wenyeji AFCON U20 Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ imepangwa kundi A katika fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana wa umri huo (AFCON U20) 2025 zitakazofanyika Misri baadaye...
Cannavaro afutwa kazi Croatia NAHODHA wa zamani wa Italia na mshindi wa Kombe la Dunia, Fabio Cannavaro amefutwa kazi katika klabu ya Dinamo Zagreb ikiwa ni miezi mitatu tu tangu aajiriwe, taarifa ya mabingwa hao wa Croatia...
Real Madrid kwa Ancelotti ni suala la muda TAARIFA kutoka tovuti ya Relevo zinadai mabosi wa Real Madrid tayari wameshafanya maamuzi ya kumwondoa Kocha Carlo Ancelotti msimu ujao na tayari wameshampata mrithi wake.
Kikao kizito... Rashford, Amorim kuyamaliza kikubwa KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim atafanya mazungumzo na mshambuliaji wa timu hiyo, Marcus Rashford mwisho wa msimu kujua hatma yake ikiwa atarudishwa kikosini au ataondoka jumla.
Vini Jr atuliza presha Real Madrid SUPASTAA wa Kibrazili, Vinicius Junior amesema anataka kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia Real Madrid.
Amorim ataka muda zaidi Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesisitiza yeye bado ni mtu sahihi kuiongoza timu hiyo kwa muda mrefu licha ya kukumbana na rekodi zote mbovu za matokeo katika historia ya klabu hiyo.
Ancelotti atoa msimamo Real Madrid KOCHA wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amesema kuwa hana uhakika juu ya hatma yake na kusisitiza kwamba ataondoka ikiwa mkataba wake utavunjwa.
Guadiola anawaza Top Four tu basi PEP Guardiola amekiri kushindwa kuwapo kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao litakuwa ni tatizo, lakini hiyo haina maana kwamba ni mwisho wa makali ya Manchester City.