Waarabu wamganda Mourinho Kwa mujibu wa ripoti kutoka The Sun, kocha wa zamani wa AS Roma na Manchester United, Jose Mourinho yupo katika mazungumzo na baadhi ya timu za Saudi Arabia kwa ajili ya kurudi kazini baada ya...
Dani Carvajal kukaa nje mwezi mzima REAL Madrid imejikuta katika mgogoro mkubwa wa safu ya ulinzi baada ya beki wao Dani Carvajal kupata jeraha la mguu katika mechi ya dabi dhidi ya Atletico Madrid. kwa wakati huo. Hali kama hii...
Xavi awekewa dau nono Saudi Arabia KOCHA wa zamani wa Barcelona, Xavi Hernandez ameripotiwa kupewa ofa nono na Al-ittihad ya Saudi Arabia jambo linaloweza kumshawishi kurejea tena kazini hivi karibuni.
Mourinho amvulia kofia Pedro Neto Kocha wa Benfica, Jose Mourinho, amemsifu nyota wa Chelsea, Pedro Lomba Neto, kama mmoja wa wachezaji bora zaidi duniani kwa sasa, kufuatia kauli ya kiungo huyo kutamani kucheza chini ya uongozi...
Arajiga, Mkono kuchezesha Cape Verde v Eswatini Marefa wanne wa Tanzania wamepangwa kuchezesha mechi inayoweza kuwa ya uamuzi katika mashindano ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 baina ya Cape Verde na Eswatini.
Romário: Nitaipenda Barcelona hadi kufa kwangu Gwiji wa Barcelona, Romário de Souza Faria, amefichua kwamba angechagua kuiwakilisha Argentina badala ya kuchezea Real Madrid, jambo linaloonyesha uhusiano wake wa dhati na klabu ya Barcelona ni...
Mikel Arteta kuja na mbinu ya kivita KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amefichua yupo katika mpango wa kushirikiana na marubani wa ndege za kivita wa jeshi la Uingereza ili kubuni njia mpya ya mawasiliano kwa wachezaji wake wanapokuwa...
Ingwe yapata ushindi wa kwanza Kenya yaizima KCB ya Matano MABINGWA wa zamani wa Kenya na Afrika Mashariki na Kati, AFC Leopards 'Ingwe' jioni hii imepata ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu (KPL) dhidi ya vijana wa Robert Matano, KCB.eboyz ikiwa nyumbani...
Neville atuma ujumbe kwa Mikel Arteta LEJENDI wa Manchester United na mchambuzi wa soka, Gary Neville amedai kwamba Mikel Arteta atajutia kutokubali kwamba ana woga katika kushambulia jambo ambalo lilionekana katika mechi iliyopita...