Chamberlain afichua siri ya Arteta Arsenal MCHEZAJI wa zamani wa Arsenal, Alex Oxlade-Chamberlain amesema wachezaji wengi wa timu hiyo walikuwa wakimchukulia Mikel Arteta kuwa kocha kabla ya mechi kubwa licha ya Arsene Wenger kuwa ndiye...
Rashford aingia katika anga za PSG, AC Milan PSG na AC Milan zinafuatilia kwa karibu maendeleo ya straika wa Manchester United, Marcus Rashford, 28, na zinaweza kutuma ofa ya kumsajili katika dirisha lijalo.
Senegal kupiga gwaride la AFCON 2025 Ufaransa MABOSI wa Shirikisho la Soka Senegal (FSF), wanapanga kufanya gwaride la ubingwa Afcon huku nyota wa kikosi cha timu hilo wakiwa na kombe walilolitwaa la Afcon licha ya kuvuliwa na Shirikisho la...
Tanzania yapanda viwango vya ubora CAF Tanzania ambayo ilikuwa nafasi ya sita, sasa ipo nafasi ya tano huku Tunisia iliyokuwa nafasi ya tano ikishuka hadi ya sita.
Mashabiki Mexico kulindwa kwa droni, mbwa wa roboti MIPANGO mipya ya usalama ya Mexico kwa ajili ya fainali za Kombe la Dunia zinazotarajiwa kupigwa katika nchi tatu za Amerika inaonyesha kwamba kutakuwa na ulinzi mkali utakaoambatana na vifaa...
Shabiki England aweka nyumba rehani SHABIKI lialia wa timu ya taifa ya England, Andy Milne, amefichua kuwa yuko katika mchakato wa kuuza nyumba ili kupata pesa za kufanikisha safari ya kwenda kutazama mashindano ya Kombe la Dunia...
Guardiola kuondoka Man City, Matthias Sammer afichua siri WAKATI Manchester City ikibeba ubingwa wa Kombe la Carabao mwishoni mwa wiki iliyopita, anga la soka la England lilibaki kuwa na swali la ni lini kocha wa kikikosi hicho, Pep Guardiola ataondoka...
Klopp: Salah ni mchezaji wa viwango vya juu duniani Salah ametangaza wiki hii kuwa atahitimisha safari yake ya miaka tisa Liverpool, ikiwa ni miaka miwili tangu Klopp aondoke klabuni hapo.
"Kosa lilianzia kichwani", Ali Kamwe aanika sababu za kichapo cha Taifa Stars Wakati mashabiki wa soka nchini Tanzania wakiendelea kutafuta majibu ya namna gani timu ya Taifa "Taifa Stars" imepoteza mchezo mbele ya Liechtenstein, Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe...