ZORAN: Yanga inafungika subirini muone ZIMEBAKIA siku chache kabla ya kuchezwa mechi ya ufunguzi wa msimu kati ya Simba dhidi ya Yanga, ambayo itapigwa Agosti 13, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku Kocha Zoran Manojlovic Maki...
Huyo Nyoni kazaliwa upyaaa UKISEMA kiraka wa Simba, Erasto Nyoni amezaliwa upya katika soka wala utakuwa haujakosea kutokana na kiwango bora alichoonyesha katika maandalizi ya msimu ujao hapa Ismalia, Misri.
Okwa aanza mikwara Simba SIMBA imemtambulisha nyota mpya kutoka Rivers United ya Nigeria, Nelson Okwa kama Mwanaspoti lilivyowajulisha mapema, huku mchezaji huyo akifunguka makubwa.
Ishu ya Kyombo ipo hivi kwa Singida USAJILI wa straika mpya wa Simba, Habibu Haji Kyombo ulikuwa na utata ndani yake baada ya hapo awali kutambulishwa kama mchezaji wa Singida Big Stars zamani DTB.
Manula apewa siku saba kwa Yanga KOCHA msaidizi na mtaalamu wa viungo Simba, Karim Sbai amesema kwa muda wa wiki mbili aliokuwa kwenye kikosi hicho amefanikiwa katika maeneo mengi tofauti na alivyokuwa akitegemea na kwamba wapo...
Sakho achimba mkwara mzito Simba MFUNGAJI wa bao bora katika mashindano ya kimataifa msimu uliopita kwenye ngazi ya klabu, Pape Ousmane Sakho amesema moto aliomaliza nao msimu huo huo ndio ataanza nao.
Zoran ampika Banda mpya WINGA wa Simba, Peter Banda msimu uliopita hakuwa kwenye kiwango bora pengine kutokana na sababu ya ugeni wa ligi na kushindwa kupata nafasi ya kucheza kwenye kikosi mara kwa mara.
Okrah: Eti Yanga? subirini STRAIKA mpya wa Simba, Augustine Okrah amezungumza mambo mbalimbali huku akiitaja Yanga kwa mara ya kwanza, na kuitumia salamu kwamba “dabi ndiyo itaamua”, ingawa hana hofu na wababe hao wa...
Akpan aibukia beki KWENYE mechi ya mwisho ya kirafiki juzi Simba ilipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Alkholood, lakini kocha Zoran Maki alimfanyia mabadiliko mchezaji wake mpya, Victor Akpan. Imezoeleka Akpan...
Inonga: Safari hii mtaona BEKI wa kati Simba na beki bora wa msimu uliopita, Henock Inonga amesema sio mtu anayependa kuongea zaidi awapo uwanjani, lakini kazi yake kubwa ni kuonyesha kiwango bora, huku akipiga mkwara...