Mbuna atoa siri ya benchi Yanga kugombana na mwandishi wa Habari aliyemshitaki TFF. Anasema kipindi hicho, Waziri wa Michezo alikuwa, Profesa Juma Othman Kapuya, aliyemsaidia kuondolewa adhabu yake baada ya kuzungumza na...
Pele chanzo vita Messi, Ronaldo WAKATI nyota wa Brazil, Kaka alipotwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia wa FIFA mwaka 2007, kulikuwa na tukio la aibu lililotokea jukwaani ndilo lililokuja kusambaa sana mtandaoni na kutoa ishara...
Hussein Tindwa: Mchezaji aliyeifia simba uwanjani MAGHARIBI ya Mei 12, mwaka 1979, viunga vya Jiji la Dar es Salaam na hasa Mtaa wa Msimbazi yalipo Makao Makuu ya Klabu ya Simba, vilianza kupata minong’ono ya habari za simanzi.
Klopp aikoromea Bodi ya Ligi , ikiwa ni pamoja na mjadala mkali na mwandishi wa habari Des Kelly mwaka 2020, baada ya kukubali bao la dakika za mwisho katika sare ya 1-1 na Brighton kwenye mechi hiyo ya Ligi Kuu England...
Eti tuzo ya Messi inamuuma Ronaldo mkali wa Argentina unamfanya Messi aweke pengo la tofauti ya tuzo tatu na mpinzani wake huyo. Ronaldo amenyakua Ballon d’Or mara tano. Na baadhi ya mashabiki wanadai Ronaldo ameumia kwa kuachwa...
Watano Harambee Stars watajwa Tuzo za Mashujaa Day Kuelekea Siku ya Mashujaa Oktoba 20, 2025, Baraza la Kitaifa la Mashujaa limependekeza wachezaji watano wa Harambee Stars walioshiriki michuano ya Mataifa ya Afrika (Chan) 2024 kutunukiwa kama...
Mambo manne yaliyowakuta Jesca, Egina Afrika Kusini WIKIENDI iliyopita mabondia Jesca Mfinanga na Egine Kayange walikuwa na vibarua vya mapambano ya kimataifa nchini Afrika Kusini ambayo yalifanyika katika jiji la Johannesburg.
Ruvu Shooting wazuiwa gesti, kisa deni Jumapili, Machi 3, mwaka huu. Mwanaspoti ilipenyezewa taarifa kwamba timu hiyo imezuiwa katika nyumba ya wageni ya Vanesa Lodge iliyopo Kihesa mjini Iringa kutokana na kushinikizwa kulipa...
Isak aanza kuwapa joto mabosi wa Newcastle Utd MSHAMBULIAJI wa Newcastle na timu ya taifa ya Sweden, Alexander Isak mwenye umri wa miaka 25, anataka mshahara wa Pauni 300,000 kwa wiki ili kusaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia kwenye timu...
Arafat: Tutawaweka wachezaji hoteli kali zaidi KITENDO cha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa ndege kwa ajili ya kuipeleka Yanga huko Algeria kwenye mchezo wa fainali ya Pili ya Kombe la Shirikisho Afrika, kumeipa jeuri zaidi...