Fury, Usyk waletewa ‘Bwa mdogo’ KAMA kawaida yao Waingereza wameanza kupigia kelele jambo lao, si unawajua walivyo wakiwa na la kuongea, sasa mdomoni mwao yupo Moses Itauma ambaye ni kati ya mabondia hatari ambao wanachipukia...
Cristiano Ronaldo arejea mazoezini Al Nassr SUPASTAA wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo ameonekana akipiga tizi ikiwa ni mazoezi yake ya kwanza tangu alipoondoka katika tiba ya misuli baada ya kuumia na kuibua tabasamu wa nchi yake...
Real Madrid kumgeukia Enzo Fernandez kisa Rodri REAL Madrid inapanga kuhamia kwa kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandez ikiwa itafeli kuipata saini ya staa wa Manchester City, Rodri, 29, katika dirisha lijalo la kiangazi.
Majanga! Uzi mpya Barca msimu ujao wavuja JEZI mpya zinazotarajiwa kuvaliwa na Barcelona msimu ujao zinadaiwa kuvunja mapema na kuibua hofu kuwa huenda tayari zimeshayafikia magenge ya kimafia yanayoweza kuanza kuzitengeneza na...
Rodriguez ala umeme, ‘pufya’ yamponza BONDIA wa Mexico, Francisco Rodriguez Jr, amefungiwa kushiriki mchezo wa ngumi kwa miaka miwili kufuatia kukutwa ametumia dawa zilizopigwa marufuku (pufya) baada ya pambano lake dhidi ya Galal...
Mustakabali wa Pulisic AC Milan shakani, mazungumzo yasimama MAZUNGUMZO ya kuongeza mkataba ya winga wa AC Milan, Christian Pulisic na timu yapo shakani yakiwa yamesimama kwa sasa kutokana na kushuka kwa kiwango chake cha uchezaji, matatizo ya kimwili na...
Ujerumani yamtibulia Otto Addo, atimua Black Stars SHIRIKISHO la Soka la Ghana (GFA), limemuachisha kazi kocha mkuu, Otto Addo, ikiwa ni miezi mitatu tu kabla ya fainali za Kombe la Dunia 2026, likiiacha Black Stars katika hali ya sintofahamu...
DR Congo v Jamaica kufuzu Kombe la Dunia kinawaka leo HEKAHEKA za kuwania nafasi sita za mchujo kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia 2026 zinaendelea tena leo, Jumanne kwa timu nane za taifa Ulaya, ikiwemo Italia kupigania nafasi nne huku...
Sintofahamu Kombe la Dunia 2026 likikaribia KOMBE la Dunia limekuwa likitajwa kama tukio linalounganisha dunia kupitia mchezo wa mpira wa miguu, lakini zikiwa zimebaki takribani siku 70 na ushei kabla ya kuanza kwa mashindano hayo picha ya...
Gwiji Manchester United awachana madogo janja NGULI wa zamani wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya England, Bryan Robson, amewachana wachezaji chipukizi akiwataka kuwa makini na matumizi yao ya fedha ili kuepuka ‘stresi’ baada...