Simba yavuna pointi tatu, yaibanjua Coastal Union Simba imefanikiwa kusogea hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na uahindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union.
Italia yasikilizia ofa ya mezani Kombe la Dunia TIMU ya taifa ya Italia ina matumaini madogo ya kushiriki fainali za Kombe la Dunia, mwaka huu, licha ya kutolewa kwa aibu na Bosnia katika mechi ya mchujo ya kuwania kufuzu, ambapo kwa sasa...
Barca mambo magumu dili la Marcus Rashford BARCELONA italazimika kuanza upya mazungumzo na Manchester United ikiwa inahitaji kumsainisha mkataba wa moja kwa moja Marcus Rashford, baada ya ripoti za ndani kufichua kuwa kipengele...
Pep Guardiola apewa muda Man City MABOSI wa Manchester City wamempa muda wa kufikiria kocha Pep Guardiola kabla ya kujua kama ana mpango wa kumaliza mkataba au kuondoka mwishoni mwa msimu huu.
Maguire akalia kuti kavu, asubiri hukumu BEKI wa Manchester United, Harry Maguire ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Chama cha Soka cha England kujibu mashtaka kutokana na jinsi alivyoonyesha utovu wa nidhamu baada ya kutolewa nje kwa...
Kauli ya Enzo Fernandez yaibua maswali Chelsea PILIKAPILIKA za usajili wa dirisha kubwa la wachezaji zimeshaanza kupamba moto huko Ulaya, ambako mastaa kibao wamekuwa wakihusishwa kubadili klabu, na wengine kulamba dili tamu msimu ujao. Na...
Liverpool yashusha pumzi kwa Isak STRAIKA wa Liverpool, Alexander Isak alirejea kwenye mazoezi kamili na kikosi hicho jana, Alhamisi, kwa mara ya kwanza mwaka huu, jambo linaloshusha pumzi kwa kocha Arne Slot, ambaye ana mechi...
Haaland aibuka mfungaji Bora kufuzu Kombe la Dunia Mshambuliaji wa Norway, Erling Haaland, amemaliza hatua ya makundi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 barani Ulaya akiwa kinara wa mabao, baada ya kufunga jumla ya mabao 16 na kuisaidia nchi yake...
FIFA yathibitisha Iran kucheza Kombe la Dunia Marekani Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, amesisitiza kuwa timu ya taifa ya Iran itashiriki Kombe la Dunia kama ilivyopangwa, licha ya mvutano wa kivita unaoendelea huko...
Majeraha yasiyopona hatari kubwa kwa wachezaji wanaotumika sana MWISHONI mwa wiki mbili zilizopita mpaka wiki hii, ligi mbalimbali duniani zilisimama ili kuwaruhusu wachezaji kushiriki mechi za kirafiki za kimataifa za FIFA.