De Bruyne mawazo yote Marekani KIUNGO Kevin De Bruyne ameweka wazi mipango yake ya kuachana na Manchester City huku uliopo mezani ni kwenda kujiunga na klabu ya San Diego ya Ligi Kuu Marekani, imeelezwa.
Amorim anamtaka fundi Trincao aje KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amepanga kufanya usajili wa winga wa Sporting Lisbon, Trincao kwenye dirisha lijalo la majira ya kiangazi huku Mreno huyo akidaiwa kuuzwa Pauni 35 milioni.
Madrid, Trent ishu yao iko hivi REAL Madrid inataka kufanya fasta kwenye usajili wa beki wa kulia wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold ili inase huduma yake kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia la klabu.
King Salah ni rekodi baada ya rekodi England IKIWA ni siku chache tangu asaini mkataba mpya, mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah amewekea rekodi nyingine katika Ligi Kuu England.
Waarabu watua kwa Onana KIPA wa Manchester United, Andre Onana amepewa ofa nono kutimkia Saudi Arabia, lakini amesisitiza kwamba anataka kubaki na kupambania nafasi kikosini.
Martin Keown afichua usajili Arsenal LEJENDI wa Arsenal, Martin Keown, amefichua kwamba timu hiyo yenye maskani yake kaskazini mwa London tayari imesaini mkataba na mshambuliaji mpya ili kuboresha eneo lao la ushambuliaji.
Rashford aitaka Ligi ya Mabingwa Ulaya MSHAMBULIAJI wa Manchester United anayekipiga kwa mkopo Aston Villa, Marcus Rashford ameanza kutafuta timu nje ya England baada ya kuona hawezi kurudi Old Trafford mwisho wa msimu na anataka...
Rekodi ya mabao Yanga, Simba CAF si mchezo Timu za Simba na Yanga zimeweka rekodi mbili mpya kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi msimu huu.
P Diddy awatoroka polisi,watoto wake wakamatwa Makazi ya nyota wa muziki wa hip-hop, Sean "Diddy" Combs, ya Los Angeles na Miami jana Jumatatu , Machi 25, yamefanyiwa upekuzi na Mawakala wa Usalama wa Taifa kama sehemu ya uchunguzi wa...
Madenti wapiga pedeli wafanya kweli OMARI Idd, mwanafunzi wa darasa la tano wa Shule ya Msingi Kange ameibuka bingwa wa mbio za baiskeli za kuadhimisha mwaka mpya wa Kiislamu wa 1446 zilizofanyika Kange jijini hapa.