Sapraizi 10 zinazoweza kutokea Ligi Kuu England 2025/26 LIGI Kuu England imezidi kunoga huku kukiwa na sapraizi kibao zinazosubiriwa kabla ya mikikimikiki hiyo kufika ukingoni Mei mwaka huu.
Timu zilizostahili kubeba taji la ligi zikashindwa England BAADHI ya timu bora katika historia ya Ligi Kuu England hakika hazishindi vikwazo vingi vya ubingwa, kutokana na nguvu ya washindani wao katika kipindi hicho kuzikwamisha mipango yao.
Don Carlo anavyoanza kukolea ngoma za Kibrazili UZEE mwisho vijijini, ndivyo wanavyodai watoto wa mjini.
Endrick ruksa kuondoka Real Madrid REAL Madrid inaangalia uwezekano wa kumuuza mshambuliaji wao chipukizi raia wa Brazil, Endrick mwenye umri wa miaka 19, mara atakaporejea kutoka kwa mkopo Olympique Lyon.
Greenwood asababisha bosi kuondoka Marseille MKURUGENZI wa michezo wa Olympique Marseille, Medhi Benatia, amejiuzulu wadhifa wake kufuatia taarifa za hivi karibuni kuhusu mgogoro wake na mchezaji Mason Greenwood.
Van Persie apambana Sterling aanze kucheza WINGA machachari, Raheem Sterling amekamilisha uhamisho kwenda Feyenoord baada ya kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili za mkataba wake na Chelsea katika dirisha la Januari, ambapo...
Mastaa wataka Maguire apewe dili jipya fasta MASTAA wenzake beki wa kati Harry Maguire wanataka mabosi wa Manchester United kuhakikisha wanampa beki huyo mkataba mpya.