Mwandishi wa Mwanaspoti aibuka mwandishi bora wa Ligi Daraja la tatu Mwanza Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi ni Alexander Sanga (mpiga picha bora), Rashid Ratto (mwandishi wa Redio) na Abdallah Chausi (Mwandishi Bora wa Mtandao). Hafla hiyo ilinogeshwa na...
Kocha kasema ni Mukoko na Mayele tu...afunguka kila kitu LICHA ya wachezaji wote wa Yanga kuonekana moto wa kuotea mbali lakini Kocha wa viungo wa timu hiyo, ameweka wazi kwamba mastaa wawili wa DR Congo, Mukoko Tonombe na Fiston Mayele ndiyo wako fiti...
DStv yazindua Zigo la sikukuu kwa mashabi wa soka na filamu kufurahia burudani elimu na habari wao na familia zao msimu huu wa sikukuu. “Kila unapofika msimu wa sikukuu hutoa ofa maalum kwa wateja wake ili kuwapa uhakika wa kupata huduma za DStv...
EXCLUSIVE: Gomes afunguka.. kuna watu wameonewa INATIA huruma. Ukiwasikiliza masimulizi yao makocha waliofutwa kazi na klabu ya Simba jana, utawahurumia, hasa Adel Zrane ambaye alilia hadi macho yakamvimba.
Yanga wakijaa tu na kujisahau wamekwisha ya Nigeria kwenye mchezo wao wa kwanza Septemba 12 Jijini Dar es Salaam na kurudiana Septemba 19 ugenini. Hii ni mechi ngumu ambayo Yanga wanapaswa kuiangalia kwa jicho la pili. Wakiibeza timu hii...
Senzo halafu Manara sasa kazi iendelee uwekezaji kwenye miundombinu ya ndani na nje ya uwanja. Hii ipo duniani kote, bahati mbaya sisi tulichelewa kulijua hili pengine ni kutokana na kuweka ushabiki mbele na ujanjaujanja usio na maana.
Ishu ya Mukoko, Ninja Yanga iko hivi Mwanaspoti ambalo ndilo gazeti pekee la Tanzania lililotuma Mwandishi nchini Morocco, limewashuhudia na linaweza kuthibitisha kwamba mastaa wa Yanga, Shaibu Ninja na Mukoko Tonombe wako...
Simba Day rasmi Agosti 28, waweka kambi ya kishua inayoanza Septemba 11 ambayo itakuwa ni kabla ya Ligi Kuu Bara kuanza. Habari zinasema kwenye miji hiyo hakuruhusiwi mikusanyiko ya zaidi ya watu 25 kutokana na corona lakini wale waliochanjwa...
Fainali Simba, Yanga Kigoma, TFF yakomba Sh12 milioni kwa adhabu wakati wa zoezi maalum la kutembelea uwanja wa mazoezi na kusababisha uharibifu wa mali, vurugu," imeeleza taarifa hiyo Pia, wametozwa faini ya Sh 500,000 kwa kosa la viongozi wao...
Sababu za Chikwende kurejeshwa Zimbabwe zatajwa Matola, alisema kuwa “Ni kweli benchi la ufundi limeamua kumrudisha Chikwende Zimbabwe, kuungana na kikosi cha timu ya Taifa ya nchi hiyo inayojiandaa na mashindano ya COSAFA, tumefanya hivi kama...