Matukio maarufu mastaa kuvutwa nywele uwanjani KATIKA soka kuna matukio mengi ambayo huwaacha vinywa wazi mashabiki na hata wachezaji wenyewe, ambayo hufanyika kinyume na sheria au kanuni za mchezo huo, huku yakilazimisha mamlaka husika...
Frank Lampard airejesha Coventry City EPL baada ya miaka 25 Coventry City imefanikiwa kurejea Ligi Kuu England (EPL) kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2001 iliposhuka, baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Blackburn Rovers katika mechi ya Championship...
Arsenal v Man City mziki uko hapa It’s Winner’s Day. Ni siku ya bingwa. Ndivyo ilivyo wakati lile pambano la Ligi Kuu England kati ya Arsenal na Manchester City linalopigwa leo kwenye Uwanja wa Etihad linaweza kuibua hoja katika...
Tajiri wa Napoli ataka mechi zipigwe dk 50 MMILIKI wa Klabu ya Napoli, Aurelio De Laurentiis, amependekeza mabadiliko makubwa katika soka akihofia kuwa mchezo huo utapoteza kizazi cha vijana ambacho kimekuwa kikipendelea mambo rahisi...
De Zebri awatoa 'OUT' mastaa Spurs kuwaokoa kushuka daraja KOCHA wa Tottenham Hotspur, Roberto De Zerbi ameibua mjadala baada ya kuwapeleka wachezaji wake katika mgahawa wa kifahari jijini London, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuinua morali ya kikosi...
AFCON 2027: Dk Ashatu Kijaji kukutana na waongoza watalii Arusha WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dk Ashatu Kijaji, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi jijini Arusha mnamo Aprili 18, 2026, ambapo atazungumza na mamia ya waongoza watalii (Tour Guides)...
Ile ishu ya Rashford, Barcelona bado kizungumkuti BARCELONA bado haijafanya uamuzi juu ya kulipa Euro 30 milioni ili kumsajili moja kwa moja mshambuliaji wa Manchester United na England, Marcus Rashford, 28.
Messi afuata nyayo za Ronaldo, anunua klabu Hispania MSHAMBULIAJI wa zamani wa Barcelona, Lionel Messi, ameanza rasmi safari ya uwekezaji katika soka kwa kununua asilimia 100 ya klabu ya daraja la tano nchini Hispania, UE Cornella, iliyopo umbali...
Kisa saa, David Silva kufanyiwa uchunguzi KIUNGO wa zamani wa Manchester City, David Silva anakabiliwa na uchunguzi wa kimahakama unaohusu sakata la saa za kifahari zinazodaiwa kuingizwa bila kulipiwa kodi nchini Andorra.
Bruno aibana Man United, aweka masharti magumu NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, ameweka wazi mustakabali wake ndani ya klabu hiyo utategemea uwezo wa timu hiyo kurejea katika ushindani wa mataji msimu ujao.