Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8474 results for Mwandishi Wetu :

  1. Mr P aibua maswali baada ya kubadili tarehe ya kuzaliwa

    Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Peter Okoye maarufu kama Mr P, ametangaza rasmi kubadilisha tarehe yake ya kuzaliwa kutoka Novemba 18 kwenda Novemba 30, bila kutoa sababu za uamuzi huo.

  2. Wolves yashuka daraja, kucheza Championship msimu ujao

    Suluhu ya bila kufungana kati ya Crystal Palace dhidi ya West Ham kumeifanya timu ya Wolves kushukuka daraja, itacheza Championship msimu ujao 2026/27.

  3. PANGA: Kikosi cha Real Madrid kufanyiwa mabadiliko

    BAADA ya kuondolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Bayern Munich wiki iliyopita, tathmini ya ndani ya kikosi hicho imeshaanza kuelekea mwisho wa msimu ambao huenda ikaumaliza bila...

    PANGA Pict
  4. Simbu atetea nafasi ya pili Boston Marathon

    Mwanariadha nyota wa Tanzania, Alphonce Simbu amepeperusha vyema bendera ya nchi baada ya kumaliza katika nafasi ya pili kwenye Mbio za Boston Marathon ambazo zimefanyika leo huko Boston Marekani.

  5. Everton yamkingia kifua Slot Liverpol

    USHINDI wa Liverpool wa mabao 2-1 dhidi ya Everton ugenini katika Ligi Kuu England unaelezwa umewagawa viongozi na maofisa wa juu wa klabu kuhusu mustakabali wa Kocha Arne Slot kuwapo au kuondoka...

    SLOT Pict
  6. Mshkaji wa Messi ahusishwa kuondoka kwa kocha

    Kwa sasa, Guillermo Hoyos amechukua jukumu la kuinoa timu hiyo kwa muda wakati ikisaka ufumbuzi wa suala la benchi la ufundi. Hata hivyo Messi bado hajazungumzia suala hilo hadharani, licha ya...

    MESSI Pict
  7. Haaland: Man City Vs Arsenal….Sitasahau!

    HAIKUWA rahisi. Kwa mashabiki wa soka duniani jana zilipigwa mechi nyingi katika ligi mbalimbali, lakini lile bato kati ya Manchester City na Arsenal kwenye Ligi Kuu England ndilo lililogeuka...

    HALAAND Pict
  8. Wakala wa Lewandowski akutana na Juventus

    WAKALA wa mshambuliaji wa Poland, Robert Lewandowski, 37, anayekipiga Barcelona, anatarajiwa kukutana na Juventus wiki hii kujadili uwezekano wa staa huyo kutua katika klabu hiyo.

    FUNUNU Pict
  9. Rekodi mpya: Harry Kane afunga bao la 51, Bayern yabeba ndoo ya Ujerumani

    WAMEBEBA tena! Bayern Munich walitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Ujerumani (Bundesliga), mwishoni mwa wiki baada ya kuichapa VfB Stuttgart mabao 4-2, ukiwa ni wa 35 kwao tangu mfumo mpya wa mashindano...

    BINGWA Pict
  10. Mudathiri kuikosa Dabi ya Kariakoo, Simba ikitozwa faini Sh15 milioni

    Kiungo wa Young Africans SC, Mudathir Yahya, amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh milioni moja kufuatia kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji FC, Ibrahim Abraham, wakati wa...

Previous

Page 136 of 848

Next