Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8474 results for Mwandishi Wetu :

  1. Mshauri wa Trump ataka Iran iondolewe Kombe la Dunia 2026

    MSHAURI wa ngazi za juu wa Rais wa Marekani, Donald Trump ameripotiwa kuiomba FIFA kuiondoa timu ya taifa ya Iran katika mashindano ya Kombe la Dunia na kuipa nafasi hiyo Italia kutokana na...

    MSHAURI Pict
  2. Man United yamaliza utata dili la Bruno

    MANCHESTER United imechukua hatua kuhakikisha inamaliza sintofahamu kuhusu mustakabali wa nahodha wao wa raia wa Ureno, Bruno Fernandes.

    BRUNO Pict
  3. Rashford, Barcelona mambo yapo hivi

    BARCELONA inapambana kumbakisha mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Marcus Rashford, 28, kwa mkopo msimu ujao badala ya kulipa ada ya Pauni 26 milioni inayohitajika ili...

    FUNUNU Pict
  4. Shinda mechi zako! Ubingwa EPL Arsenal, Man City upo hapa

    MCHEZAJI wa zamani wa Arsenal, Paul Merson amesema mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England bado ziko wazi na Washika mitutu hao wana nafasi licha ya kushuka kileleni baada ya Manchester City kushinda...

    UBINGWA Pict
  5. Leicester City: Hadithi ya mafanikio yageuka funzo la uongozi mbovu

    Mnamo Mei 2016, ulimwengu wa soka ulisimama. Leicester City, klabu ambayo msimu mmoja kabla ilikuwa inapambana kutoshuka daraja, ilitawazwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (Premier League).

  6. Burnley yaendeleza rekodi ya panda shuka Premier League

    KICHAPO cha bao 1-0 ilichopokea Burnley usiku wa Aprili 22, 2026 kutoka kwa Manchester City, kimehitimisha safari ya timu hiyo kuendelea kuwepo ndani ya Premier msimu ujao, huku ikiungana na...

  7. Hawa hapa mastaa 60 huru EPL

    KATIKA kipindi hiki cha mwisho wa msimu wa Ligi Kuu England ambapo Manchester City na Arsenal zibakabana koo kwenye mbio za ubingwa, klabu nyingi kwenye ligi hiyo pendwa duniani zinajiandaa kwa...

  8. Balogun apambana kuvunja rekodi ya Mbappe Ligue 1

    HUU siyo msimu mzuri kwa pamoja kwa Kylian Mbappe. Real Madrid imepoteza Copa del Rey, Ligi ya Mabingwa Ulaya na huenda hata LaLiga. Mbaya zaidi, Vedat Muriqi, straika wa mabao wa Real Mallorca...

  9. Pogba afichua chanzo cha mgogoro wake na Mourinho

    KIUNGO wa boli, Paul Pogba anaamini kuwa maswali ya mara kwa mara kutoka kwa vyombo vya habari kuhusu majeraha yake na mustakabali wake katika kikosi cha Manchester United yalichangia kumkera...

  10. Apple Music yamtangaza Moses Luka msanii mpya wa ‘Up Next’ Afrika Mashariki

    APPLE Music imemtangaza muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili kutoka Tanzania, Moses Luka, kuwa msanii wa awamu mpya kujiunga na mpango wake wa kukuza vipaji wa ‘Up Next’ katika ukanda wa Afrika...

    LUKA Pict
Previous

Page 134 of 848

Next