Dodoma Jiji kung'oa kiungo Simba UONGOZI wa Dodoma Jiji upo kwenye hatua za mwisho kutuma maombi kwa uongozi wa Simba kuona kama kuna uwezekano wa kumpata kiungo wa ukabaji, Victor Akpan aliyeshindwa kupata nafasi ya kucheza...
Rayvanny ambwaga Diamond Afrimma, Zuchu naye noma Bosi wa Next Level Music, Rayvanny ameshinda tuzo ya AFRIMMA 2022 kipengele cha msanii bora wa kiume Afrika Mashariki. Tuzo hizo ambazo zimetolewa usiku wa kuamkia leo nchini Marekani, Rayvanny...
NBC yakabidhi zawadi kwa Maxime Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambaye ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana ilikabidhi zawadi ya pesa na tuzo kwa kocha bora wa ligi hiyo kwa mwezi...
Karia atoa tuzo tatu za heshima Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia ametoa tuzo tatu kwa watu waliochangia mafanikio ya soka nchini huku tuzo ya kwanza ya heshima ikienda kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Tuzo...
Mayele, Saido wagawana kiatu Fiston Mayele wa Yanga na Saido Ntibazonkiza kutoka Simba wote wamepewa tuzo ya mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara 2022/23. Mayele na Saido kila mmoja alifunga mabao 17 hivyo Kamati ya Tuzo ilikaa...
Hivi ndivyo Magufuli atakavyozikwa Ni huzuni na majonzi. Ndivyo unavyoweza kuizungumzia siku ya leo Ijumaa Machi 26, 2021 wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza viongozi wa Serikali, majeshi ya ulinzi na usalama, vyama vya...
Simba yapata pigo, Maalim Seif afariki dunia KLABU ya Simba imepata pigo baada ya kumpoteza mwanachama wake na aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia leo saa 5 asubuhi katika Hospitali ya...
Yanga yagomea chumba cha kubadilishia nguo Kwa Mkapa Muda mfupi baada ya Yanga kuwasili katika Uwanja wa Mkapa, wamelazimika kugomea kuingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo. Maofisa wa Yanga waliotangulia kukagua chumba hicho walionekana...
Saka: Arsenal kila siku inaonewa STAA wa Arsenal, Bukayo Saka ametoa maneno makali dhidi ya VAR baada ya Arsenal kunyimwa penalti kipindi cha kwanza, licha ya faulo ambayo straika wao, Viktor Gyokeres alifanyiwa na kipa wa...
Ange Postecoglou anatajwa tajwa huko Celtic ANGE Postecoglou ametajwa kuwamo kwenye orodha ya makocha wanaopewa kipaumbele kwenda kuinoa Celtic baada ya Brendan Rodgers kuachia ngazi.