Van Dijk amtwisha lawama Chiesa BEKI wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk ameelekeza lawama zake kwa Federico Chiesa baada ya bao la ushindi la Wolves katika dakika ya 94 uwanjani Molineux kwenye mchezo wa Ligi Kuu...
Arteta: soka la kuvutia ni gumu England MIKEL Arteta anadai kuwa haiwezekani kucheza soka la kuvutia kwenye Ligi Kuu England.
Man United yaweka mzigo kwa Bruno Fernandes MANCHESTER United ipo tayari kumpa kiungo wake wa kimataifa wa Ureno, Bruno Fernandes, ofa mpya ya mkataba itakayomuingizia mshahara wa hadi Pauni 400,000 kwa wiki.
SCORPION STYLE: Zao la mbwembwe za Higuita uwanjani SEPTEMBA 6, 1995 England ilitoka suluhu (0-0) na Colombia katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliochezwa kwenye Uwanja wa Wembley.
Dickson Job nje miezi miwili Yanga KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, amethibitisha kwamba, nahodha msaidizi wa kikosi hicho, Dickson Job, hatakuwa sehemu ya mechi ya kesho Alhamisi dhidi ya Singida Black Stars kufuatia kuumia...
Steven Gerrard aikosoa Liverpool baada ya kipigo cha Wolves Nguli wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard, ameikosoa vikali klabu yake hiyo kufuatia kipigo cha mabao 2-1 walichopata dhidi ya Wolves katika mechi ya Ligi Kuu England iliyopigwa jana usiku...
Ronaldo yupo Saudi Arabia, Al-Nassr yatoa ufafanuzi Klabu ya Al-Nassr imethibitisha kuwa nahodha wake, Cristiano Ronaldo, bado yupo Saudi Arabia, ikikanusha tetesi zilizoenea kuwa ameondoka Mashariki ya Kati kufuatia kuongezeka kwa mashambulizi...
Sinners yamsogeza karibu Jordan katika Oscars MWIGIZAJI wa Marekani, Michael B. Jordan, amepata ushindi wa kushtukiza katika tuzo za Actor (zamani zikijulikana kama Screen Actors Guild Awards), hali iliyompa nguvu mpya katika wiki za mwisho...
Ronaldo asepa Saudia, aenda Hispania akikwepa mabomu ya Iran Ndege binafsi inayomilikiwa na nyota wa soka wa Ureno, Cristiano Ronaldo, imeruka kutoka Saudi Arabia usiku wa manane kuelekea Madrid, Hispania, hatua inayozua maswali iwapo mshambuliaji huyo...