Redknapp ampiga kijembe Gyokeres STAA wa zamani wa Ligi Kuu England, Jamie Redknapp amempiga kijembe straika wa Arsenal, Viktor Gyokeres akidai kwamba hana uwezo wa kucheza kwenye kikosi cha The Gunners licha ya kwamba...
Kura kuamua hatima ya Rashford Barcelona NOMA sana. Mashabiki wa Barcelona wamepiga kura kuamua kama mshambuliaji Marcus Rashford asajiliwe jumla au miamba hiyo ya Nou Camp aiachane naye tu aondoke mkopo wake ukimalizika.
Adingra asononeka kukosa Afcon 2025 STAA wa Ivory Coast, Simon Adingra amefunguka juu ya huzuni yake ya kuwekwa kando katika kikosi cha Tembo kinachoshiriki mashindano ya Afcon 2025 huko Morocco.
Gwiji England amshauri Viktor Gyokeres GARY Lineker amemtaka straika wa Arsenal, Viktor Gyokeres kujifunza kwa Dominic Calvert-Lewin wakati huu akiendelea kuzoea mazingira ya Ligi Kuu England.
Isak haijulikani atarudi lini dimbani STRAIKA Alexander Isak amefanyiwa upasuaji baada ya kuvunjika mfupa wa mguu katika mechi dhidi ya Tottenham.
Kocha Chipolopolo azuiwa Afcon 2025, sababu yatajwa Siku tatu kabla ya kuanza kwa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 huko Morocco, Zambia imepata pigo baada ya Kocha wake Mkuu, Moses Sichone kuzuiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika...
Fainali Mapinduzi Cup 2026 kuchezwa Pemba WAKATI michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 ikitarajiwa kuanza Desemba 28, 2025 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex kisiwani Unguja, imeelezwa kwamba fainali itapigwa Pemba.
Spurs waambiwa mpeni kazi Klopp ALIYEKUWA mmiliki wa Tottenham Hotspur, Lord Alan Sugar amewataka mabosi wa sasa wa timu hiyo kumwajiri kocha Jurgen Klopp ili kwenda kukinoa kikosi hicho.
Moyes hofu tele kumkosa Grealish KOCHA, David Moyes amethibitisha kuwa Jack Grealish anasumbuliwa na maumivu ya misuli ambayo yatawaacha kwenye pigo kubwa.
Arsenal, Man City waweka historia fainali Carabao Cup ARSENAL na Manchester City tayari zilikuwa zimeweka historia katika michuano ya Carabao kabla hata ya fainali ya Jumapili iliyopigwa kwenye dimba la Wembley.