Garnacho kuwanunulia msosi mastaa wenzake Man United KINDA wa Manchester United, Alejandro Garnacho atawanunulia chakula cha usiku wachezaji wenzake kama “adhabu” kutokana na kitendo chake cha kuondoka kabisa Old Trafford baada ya kutolewa kwenye...
Solskjaer: Amorim? Tatizo siyo yeye OLE Gunnar Solskjaer amefichua na kusema anajua ni wapi penye shinda kwenye kikosi cha Manchester United kinachofanya hovyo chini ya Ruben Amorim na kudai sio kosa la kocha.
Arsenal yahamishia nguvu kwenye saini ya Sesko ARSENAL imeripotiwa kuhamishia nguvu zote kwenye usajili wa straika wa RB Leipzig, Benjamin Sesko kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi huko...
Dah! Felix ana jambo zito Milan STAA wa Chelsea anayecheza kwa mkopo AC Milan, Joao Felix ameripotiwa mambo yake kwenye vibaya hadi wachezaji wenzake kumtenga ndani ya uwanja.
Gundogan anabaki, De Bruyne ataamua HABARI ndo hiyo. Arsenal imeanza mazungumzo ya kumsajili kiungo Joshua Kimmich, ikielezwa utakuwa usajili wa kibabe sana kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi.
Arteta, Kimmich wapo mezani HABARI ndo hiyo. Arsenal imeanza mazungumzo ya kumsajili kiungo Joshua Kimmich, ikielezwa utakuwa usajili wa kibabe sana kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi.
Curry alivyoizima Orlando akitupia pointi 56 WAKATI Stephen Curry anapokuwa kwenye ubora wake kama ilivyokuwa huko Marekani kwenye hekaheka za michezo ya Ligi ya Kikapu (NBA), kocha wake Steve Kerr anajua tu kwamba lazima mwamba atatupia sana.
PRIME WAPEWE, WASIPEWE? Arsenal itakavyoitibulia Liverpool ubingwa LIVERPOOL imetanua mbawa zake kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu England baada ya kuweka pengo la pointi 13 dhidi ya timu inayoshika namba mbili, ambao ni Arsenal ya kocha Mikel Arteta.
Wakifunga hawa, timu haipotezi KWA kawaida, mchezaji kufunga mabao kunasaidia timu yake kushinda mechi.
Kisa Amorim, mastaa Man United wapishana sehemu MASUPASTAA wa Manchester United wameripotiwa kuvurugwa na kocha Ruben Amorim baada ya kuwashushia lawama viwango vyao vibovu uwanjani vimefanya wafanyakazi wengine wa klabu hiyo kupunguzwa kazini.