Rekodi hii ya Mbappe Madrid, Ronaldo akasome Zaidi ya nusu ya mabao ya Real Madrid katika Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu yamefungwa na Kylian Mbappe, huu ni wastani mkubwa zaidi wa mabao kufungwa na mchezaji mmoja katika historia ya klabu...
Toure atua Msimbazi, Chama ni suala la muda Habari kutoka chanzo cha uhakika ndani ya Simba, imethibitisha kuwa tayari imeshafikia makubaliano na kiungo huyo na tayari ameshasaini mkataba wa mwaka mmoja.
Miloud Hamdi ajiuzulu Ismaily Aliyekuwa Kocha wa Yanga msimu uliopita, Miloud Hamdi jana, Jumatatu, Januari 26, 2026 ametangza kujiuzulu kibarua chake katika klabu ya Ismaily ya Misri.
Wagosi wamaliza gundu la siku 76 USHINDI wa mabao 4-1 ilioupata Coastal Union mbele ya Tanzania Prisons umeiwezesha kuondoa jinamizi la siku 76 bila ushindi Ligi Kuu Bara, huku kocha Mohammed Muya akisema haikuwa rahisi kwani...
Mastaa Madrid wakutana kupata mlo pamoja MASTAA wa Real Madrid walikutana kwa ajili ya kupata chakula cha jioni kuweka makubaliano kitu gani cha kufanya kipindi kilichosalia cha msimu huu wa 2025/26.
Croatia yaihofu Ghana Kombe la Dunia 2026 KOCHA mkuu wa Croatia, Zlatko Dalić, anasema timu yake haitaimdharau Ghana licha ya Black Stars kuingia kwenye droo ya Kombe la Dunia 2026 wakiwa katika Pot Four na kushika nafasi ya 72 duniani.
Bellingham hata yeye haelewi STAA wa Real Madrid, Jude Bellingham benchi la ufundi la timu hiyo bado linapambana kujua kwanini hawapati matokeo chanya katika mechi za hivi karibuni lakini wao kama wachezaji wanamuunga mkono...
Paul Pogba kurudi dimbani baada ya mwaka mmoja Kiungo wa Ufaransa, Paul Pogba anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza akiwa na AS Monaco kesho Jumamosi, Novemba 22, 2025 dhidi ya Rennes, huku akiendelea kujiandaa kurejea katika mechi za...
Palmer aipa pigo jingine Chelsea COLE Palmer ameipa pigo jingine Chelsea kutokana na kuumia kidole wakati akiwa nyumbani.
Liverpool yakataa ofa ya Inter Milan Liverpool imekataa ofa ya maneno yenye thamani ya euro25 milioni 25 kutoka Inter Milan kwa ajili ya kiungo Curtis Jones.