Bayer Leverkusen yakubali kwa Alonso MKURUGENZI wa Bayer Leverkusen, Fernando Carro amethibitisha hatma ya kocha wao Xabi Alonso itaamuliwa katika wiki chache zijazo baada ya mazungumzo zaidi na wangependa kuendelea kuwa naye lakini...
Rais Samia aibeba Simba Sauzi, agharamia malazi, usafiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa...
Simba yasitisha mkataba wa CEO wao, yamtaja mrithi wake Uongozi wa Simba umetangaza kusitisha mkataba na Francois Regis raia wa Rwanda ambaye alikuwa Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo.
Haaland haogopi kesi ya Man City STRAIKA Erling Haaland amefichua mabosi wa Manchester City wamemhakikishia watashinda mashtaka yao 130 yanayowakabili dhidi ya Ligi Kuu England juu ya madai ya udanganyifu kwenye mapato na matumizi.
Kevin De bruyne, Marekani ipo hivi KIUNGO wa Manchester City Kevin de Bruyne ameripotiwa kuzungumza na San Diego ya Marekani juu ya uwezekano wa kujiunga nayo katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi pale mkataba wake...
Tuchel amwandalia dawa Jude Bellingham KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel amepanga kuja na njia mbadala ya kumfanya staa wa timu hiyo Jude Bellingham atunze nguvu zake kwa ajili ya muda muhimu na kudhibiti hisia zake.
Maresca: Sijakimbia mashabiki KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesisitiza kuondoka kwake haraka mara tu filimbi ya mwisho ilipopigwa katika mchezo dhidi ya Fulham wikiendi iliyopita, ilikuwa ni kwa sababu ya kuwaachia...
Luis Enrique ashtukia janja ya Arsenal KOCHA wa Paris Saint Germain, Luis Enrique anaamini Arsenal itatumia mbinu za kupaki basi kama itatangulia kufunga bao la mapema.
Vyombo vya habari Ujerumani vyamchambua Kane VYOMBO vya habari za Ujerumani zimemgeukia straika wa Bayern Munich, Harry Kane licha ya kuwa na rekodi tamu ya kufunga kwenye Bundesliga.
Nchemba aiangukia Yanga kwa Kagoma Mdau wa michezo nchini aliye pia Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amefunguka kwa mara ya kwanza sakata la kiungo Yusuf Kagoma, anayedaiwa kusaini Yanga na baadae kujiunga na Simba.