NYEPESI NYEPESI ZA DABI: Yanga yaihenyesha Simba kibabe
KWA sasa kuna kelele nyingi kuhusu Yanga kuifunga Simba mara nne mfululizo, lakini kama hujui ni, Simba iliwahi kuhenyeshwa kwa miaka mitano ikicheza mechi 12 mfululizo bila kuonja ushindi wowote...