Neymar na dada’ke imetokea tena GUNDU la siku ya kuzaliwa dada yake Neymar limemkumba tena supastaa huyo wa Kibrazili ambapo kwa mara ya 10 fowadi huyo anakosa mechi na kushindwa kutumikia timu yake kwenye siku ya sherehe ya...
Rupia, Abuya na Momanyi waitwa Harambee Stars NYOTA wanne wa Ligi Kuu Bara, akiwamo Duke Abuya wa Yanga na Elvis Rupia wa Singida Black Stars ni miongoni mwa wachezaji walioitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars...
Tajiri Man Utd... Tuna wachezaji wachovu tunawalipa pesa nyingi BILIONEA mmiliki mwenza Manchester United, Sir Jim Ratcliffe amekiri kwamba baadhi ya wachezaji hawana uwezo wa kutosha kuendelea kuwapo Old Trafford.
Arteta namba zinatosha MIKEL Arteta ametimiza mechi 200 za Ligi Kuu England tangu alipochukua mikoba ya kuinoa Arsenal mwaka 2019 – lakini rekodi zake zinachuana vipi na makocha wanaotajwa kuwa manguli kwenye historia...
Florian Wirtz mdomoni mwa timu vigogo Ulaya MANCHESTER City imeendelea kufanya mazungumzo na winga wa Bayer Leverkusen na Ujerumani, Florian Wirtz kwa ajili ya kumsajili katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Josiah, TZ Prisons lolote litatokea KIPIGO cha mabao 4-0 walichokumbana nacho Tanzania Prisons kutoka kwa Azam FC, huenda kikaondoka na kichwa cha mtu kufuatia mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha kwa maafande hao.
Palmer atetewa kukosa penalti KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amemtetea staa wake Cole Palmer kwa kukosa penalti dhidi ya Leicester City akidai kwamba kiungo huyo mshambuliaji aliumwa kabla ya mechi.
Amorim ni Mourinho mpya? KOCHA, Ruben Amorim amepita kwenye nyayo za shujaa wake Jose Mourinho na kufanikiwa kutibua mipango ya Arsenal kwa kuibana na kutoka nayo sare kwenye mchezo wa Ligi Kuu England, huku akidai...
Guadiola anawaza Top Four tu basi PEP Guardiola amekiri kushindwa kuwapo kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao litakuwa ni tatizo, lakini hiyo haina maana kwamba ni mwisho wa makali ya Manchester City.
Hawa Liverpool kama vipi wapewe tu! LIVERPOOL imeweka pengo la pointi 15 kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu England na hilo linafanya kikosi hicho cha Arne Slot kusogelea ubingwa.