England yachukua Euro kibabe ikilipa kisasi kwa Hispania Timu ya Taifa ya Wanawake ya England imeendelea kuonyesha ubabe wake Ulaya baada ya kubeba taji la mashindano ya Ulaya kwa Wanawake kwa mara ya pili mfululizo.
Duh! Guardiola ashtua watu KOCHA Pep Guardiola amewaduwaza mashabiki wa Ligi Kuu England baada ya kuibuka na mwonekano mpya kabisa katika kuelekea msimu ujao.
James Maddison nje wiki kibao Spurs KIUNGO mchezeshaji wa Tottenham Hotspur, James Maddison atakosa sehemu kubwa ya msimu baada ya kupata maumivu makubwa ya goti.
Haaland aweka rekodi nyingine STAA wa Manchester City, Erling Haaland amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya Ligi Kuu England, kuhusika katika mabao 100 ikiwa pamoja na kufunga na kutoa asisti kabla ya kufikisha mechi...
Lazima kieleweke usiku wa Ulaya KIVUMBI na jasho. Ndicho unachoweza kusema kuhusu kipute cha Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya mtoano kitakachopigwa usiku wa leo Jumatano, huku wengi wakisikilizia kitakachokwenda kutokea Wanda...
Eddie Howe kulamba mkwanja mrefu KOCHA Eddie Howe anajiandaa kupata ongezeko la asilimia 50 la mshahara wake endapo kama Newcastle United itakamatia tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao baada ya kushinda taji la...
Mtoto wa Buffon kuchezea Jamhuri ya Czech MTOTO wa kipa mashuhuri wa Italia, Gianluigi Buffon, Louis amechagua kuitumikia Jamhuri ya Czech kwenye soka la kimataifa badala ya Azzurri, ambayo aliitumikia baba yake.
Bayern Munich macho kwa Martinelli BAYERN Munich imeonyesha dhamira ya dhati ya kunasa saini ya winga wa Arsenal, Gabriel Martinelli.
Rupia kidogo tu asepe Singida Black Stars MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Mkenya Elvis Rupia amesema ilibaki kidogo tu aondoke dirisha dogo la usajili la Januari baada ya kutoridhishwa na baadhi ya mambo japo kwa sasa kila kitu kipo...
He! Mabosi Sporting wamtibua Gyokeres STRAIKA wa mabao, Viktor Gyokeres ameripotiwa kuwakasirikia mabosi wa Sporting Lisbon baada ya kufanya mabadiliko kwenye kipengele kinachotaja bei anayouzwa mshambuliaji huyo.