Aziz KI ampa zawadi Hamisa, athibitisha ndoa Dakika chache baada ya kiungo wa Yanga, Stephanie Aziz KI kutupia kambani chuma tatu, furaha yake imemfanya kufichua juu ya ndoa yake na mwanamitindo Hamisa Mobeto.
Ashley Young kukwaana na mwanaye Kombe la FA STAA wa Everton, Ashley Young atakabiliana na mtoto wake wa miaka 18, Tyler kwenye michuano ya Kombe la FA.
Casemiro afichua jambo CASEMIRO amebainisha kwa nini aliamua kuigawa medali yake ya ubingwa wa Kombe la FA kwa mchezaji mwenzake wa Manchester United, Tyrell Malacia, licha ya beki huyo kutocheza dakika hata moja na...
Kompany atoa neno jeraha la Kane KOCHA wa Bayern Munich, Vincent Kompany ametoa dokezo kuhusu hali ya Harry Kane baada ya straika huyo kuumia na kutoka nje wakati wa mechi dhidi ya Borussia Dortmund.
TFF yaufungiwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Taarifa iliyotolewa na TFF imefafanua kuwa uwanja huo haukidhi vigezo vya kikanuni.
Wakitua Paris, wanne riadha wabeba tumaini la Tanzania Olimpiki 2024 Wanariadha wanne wa Tanzania watakaoshiriki michezo ya Olimpiki 2024, wamewasili salama jijini Paris nchini Ufaransa wakiwa na tumaini la kulibeba taifa.
Kauli zamponza mtangazaji Olimpiki MTANGAZAJI mkongwe wa michezo ameondolewa katika kazi yake kwenye Olimpiki ya Paris baada ya kutoa maoni ya ubaguzi wa jinsi kuhusu waogeleaji wa kike wa Australia walioshinda medali ya dhahabu.
Abdulaziz Makame afukuzwa kambini, Heros kwa utovu wa nidhamu Kocha wa Zanzibar Heros, Hemed Suleiman Morocco amemfukuza kambini beki Abdulaziz Makame (Bui) kwenye kambi ya kikosi hicho kinachojiandaa na mashindano ya Mapinduzi Cup yanayotarajiwa kuanza...
Hesabu moja Kombe la Mapinduzi leo Ushindi ndio lengo la kila timu leo wakati Zanzibar Heroes itakapocheza na Burkina Faso katika Uwanja wa Gombani, Pemba ikiwa ni muendelezo wa Kombe la Mapinduzi 2025 kuanzia saa 1:00 usiku.
Elon Musk afikiria kuinunua Liverpool BABA wa bilionea Elon Musk amefichua kwamba mwanaye huyo, ambaye ni tajiri Na.1 duniani anataka kuinunua klabu ya soka ya Liverpool.