Mtoko wa Liverpool Van Dijk , Salah, Trent wakiondoka utakuwaje? BAADA ya kutupwa nje na Paris Saint-Germain kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, beki wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk alisema hafahamu kama ataendelea kubaki kwenye klabu hiyo hadi...
Eddie Howe kulamba mkwanja mrefu KOCHA Eddie Howe anajiandaa kupata ongezeko la asilimia 50 la mshahara wake endapo kama Newcastle United itakamatia tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao baada ya kushinda taji la...
PRIME Kocha ASEC Mimosas amaliza utata wa Aziz KI, Ahoua KOCHA wa Asec Mimosas, Julie Chevalier, amewachambua viungo washambuliaji Jean Charles Ahoua na Stephane Aziz KI waliowahi kucheza Ligi Kuu ya Ivory Coast kabla ya sasa kukiwasha Ligi Kuu Bara.
Majogoo watenga Pauni 250 milioni, Alvarez atajwa LIVERPOOL imepanga kutumia zaidi ya Pauni 250 milioni dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwa ajili ya kuboresha kikosi chao NA ina mpango wa kusajili mastaa kadhaa ikiwemo straika wa Atletico...
PRIME Yanga kumekucha CAS, Bodi ya Ligi yakomaa SAKATA la kuahirishwa mechi ya Kariakoo Dabi, Yanga dhidi ya Simba limechukua sura mpya na tafsiri nyepesi ni kama mambo ya yamekucha rasmi kwani awali ilionekana kama masihara.
Mpo? Bukayo Saka anawawahi Madrid WINGA supastaa, Bukayo Saka anakimbizana na muda kuwahi kipute cha robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na itakutanisha timu yake ya Arsenal dhidi ya Real Madrid uwanjani Emirates, Aprili 8.
Mastraika wanne ubaoni Man United MANCHESTER United imeweka ubaoni majina ya mastraika wanne inayohitaji huduma zao kwa ajili ya msimu ujao.
VIDEO: Soka lambeba beki Yanga, apandishwa cheo KMKM KIKOSI Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM) kimempandisha cheo beki wa Yanga SC, Ibrahim Hamad "Ibra Bacca", kutoka Koplo hadi Sajenti. Hii ni kutokana na mchango wake mkubwa katika soka...
Odegaard kama kawakodi Chelsea KIUNGO fundi wa mpira, Martin Odegaard anaendeleza rekodi zake tamu kabisa dhidi ya Chelsea tangu alipojiunga na Arsenal.
Amorim amvulia kofia Fernandes KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amemsifu Bruno Fernandes na kusema ni mtu spesho kabisa baada ya nahodha huyo wa Mashetani Wekundu kuiongoza miamba hiyo kupata ushindi mnono wa wa 3-0...