Mtoko wa Liverpool Van Dijk , Salah, Trent wakiondoka utakuwaje?
BAADA ya kutupwa nje na Paris Saint-Germain kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, beki wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk alisema hafahamu kama ataendelea kubaki kwenye klabu hiyo hadi...