Mlimani Orchestra kuadhimisha miaka 45 Bendi ya Mlimani Park Orchestra inatarajia kufanya tamasha lake la kuadhimisha miaka 45 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1976. Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa bendi Mipango na Matukio, Hassan Msumari...
Wasanii wa muziki waomba kukutana na Rais Samia Wasanii wanaounda Shirikisho la Muziki Tanzania (SHIMUTA), wameomba nafasi ya kukutana na Rais Samia Suluhu, kama anavyofanya kwa makundi mengine. Wito huo umetolewa na Rais wa Shirikisho hilo...
UDSM yaoimba CCCC kuwajengea uwanja wa mpira Kampuni ya ujenzi ya China Communications Construction Company (CCCC), imeombwa kuwajengea uwanja wa mpira chuo kikuu cha Dar es Salaam jambo litakaposaidia kuongeza shughuli za Utamaduni kwa...
‘Sanaa Feel Free’ imebadilisha taswira muziki wa singeli Mkurugenzi wa Uswazi born Talent (UBT), Masoud Kandoro maarufu ‘Meneja Kandoro’ amesema Mradi wa ‘Sanaa Feel Free’ umewasaidia wasanii wa Muziki wa singeli na kubadilisha taswira kuwa muziki huo...
PRIME Harmonize: Nilimpa dili Kajala MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Rajab Abdul maarufu Harmonize, amevunja ukimya kuhusu kuvunjika kwa uhusiano wake na mrembo kutoka Bongo Movie, Masanja Kajala, huku akidai alikuwa akimpatia...
Wasanii kukusanya mirabaha kuanzia mwakani Kuanzia mwakani mirabaha itakusanywa na wasanii wenyewe na ofisi ya Haki Miliki Tanzania (Cosota) itabaki kama msimamizi.
Vikundi nane vyalamba Sh187 milioni za 'Feel Free Vikundi nane vimeibuka kidedea na kulamba za mawazo ya kibunifu kupitia mradi wa Feel Free, zilizoandaliwa Nafasi Art Space. Akitangaza vikundi hivyo vilivyoshinda Dar es Salaam jana Mwenyekiti...
AliKiba, Samatta kusaidia watoto njiti Kibiti na Kigoma Msanii Ally Saleh maarufu Ali Kiba na mchezaji mpira anayekipiga kimataifa, Samatta Mbwana, wanataraji kukusanya fedha kupitia mechi ya hisani kwa ajili ya kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia...
Kifo cha Mussa Babaz chamuibua Profesa Jay Profesa Jay hajawahi kuonekana hadharani wala kupakia chochote kwenye mitandao ya kijamii tangu alipolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa siku 127 akipatiwa matibabu baada ya kuwa na...
Msama: Wasanii msinunue magari ya kifahari mkopo wa Serikali Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama, amewashauri wasanii kutumia mikopo waliyopewa na serikali kupitia mfuko wa Sanaa na Utamaduni katika kuendeleza kazi zao na kuepuka...