Jose Mourinho awavuruga mashabiki Real Madrid KOCHA Jose Mourinho alihitaji dakika 15, pekee kuwafanya mashabiki wa Real Madrid kuanza kuamini tena uwezo wake, lakini mambo yalibadilika haraka baada ya timu hiyo kushindwa kuendeleza kiwango...
TFF yamfungia Jamal Bakhresa mwaka mmoja Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kamati yake ya nidhamu imemfungia kiongozi wa Azam FC, Jamal Bakhresa kujihusisha na mpira wa miguu kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya...
ManUnited yaanza ligi kwa Kipigo cha 2-0 dhidi ya Hull City IKIANZA na wachezaji wake wote mahiri, Manchester United imeanza ligi vibaya baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Hull City kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye Uwanja wa MKM.
Simulizi ya Gravesen ‘Mad Dog’ alivyopiga, kutembeza ubabe! UNAMKUMBUKA Thomas Gravesen? Mchezaji wa soka aliyefahamika pia kama ‘Mad Dog’? Kiungo huyo wa zamani wa Everton Mdenmark alipata jina la utani la Mad Dog akiwa Everton na haikuwa kwa bahati...
Anthony Edwards aamriwa kulipa Sh44.8 Milioni kila mwezi kwa matunzo ya watoto Wake NYOTA wa Minnesota Timberwolves, Anthony Edwards ameamriwa kulipa Dola 14,000 (zaidi ya Sh36.4 milioni) kila mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto kiasi ambacho kinaongezeka juu ya malipo mengine...
Klay kutua zake Miami Heat, Harden Cleveland Klay Thompson, ambaye ni All-Star mara tano wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) na bingwa wa NBA mara nne, anaripotiwa kuwa anatarajiwa kusaini mkataba na Miami Heat baada ya kufikia makubaliano ya...
Liverpool yamgeukia Endrick Madrid LIVERPOOL imeulizia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Brazil, Endrick, mwenye umri wa miaka 20, kutoka Real Madrid baada ya Brighton kukataliwa kwa ofa ya pili waliyoituma kwa winga wa...
Arsenal yaanza kutetea taji kwa kishindo ikiichapa Coventry 3-0 Emirates Jana ilikuwa ni siku ya ufunguzi wa msimu, bado kuna mechi ngumu zaidi mbele ya Arsenal, lakini kila kilichoonekana katika mchezo huu kinaashiria kuwa kuridhika kupita kiasi hakutakuwa miongoni...
Argentina yaepuka adhabu kali ya FIFA, Paredes afungiwa mechi 10 ARGENTINA imeepuka adhabu kubwa licha ya shinikizo la kuitaka iwaadhibu nyota wake waliobeba bango lililodai kuwa Visiwa vya Falkland ni sehemu ya nchi hiyo, baada ya ushindi wao wa nusu fainali...