Diamond, Hamisa na mshkaji wao bilionea Rick Ross Kwa kiasi kikubwa Rozay anapata pesa kutokana na kazi yake ya muziki na amekuwa akiuza albamu na shoo zake pia zinamfanya akusanye noti za kutosha na kwa miaka minne iliyopita ameingiza zaidi ya...
PRIME HISIA ZANGU: Sinema nyingi na hofu ya Pacome, Aucho Yanga NILIACHANA na pambano la Manchester United dhidi ya Liverpool na kukimbilia uwanja wa Mkapa kutazama pambano la Azam dhidi ya Yanga. Nani alikwambia mpira wa Ulaya unapendwa kuliko Simba na Yanga.