Guardiola atuma meseji zito kwa mastaa wake PEP Guardiola amewaambia wachezaji wake wa Manchester City kosa moja tu litawafanya watoe mkono wa kwa heri kwa ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers