Pawa Yangu ilibadilisha TSh100 kuwa nyumba mpya

Friday October 2 2020

 

Nilipatwa na msisimko na furaha pale nilipogundua ya kwamba kuna mshindi wa milioni TSh10 (kabla ya makato). Nilienda moja kwa moja kwenye akaunti yangu na kuangalia salio langu na kufahamu kwamba ilikua ni mimi.

Hiki kilikua kiasi kikubwa ambacho nimeshawahi kushinda, na mama yangu ndio alikua mtu wa kwanza kumwambia. Mwanzoni, hakuamini mpaka nilipomuonesha miamala ya hela.

Hela nyingi nilitumia kwenye kununua vifaa vya ujenzi. Nilinunua matofali, simenti, nililipia tripu kadhaa za mchanga kuelekea sehemu nilipokua najenga nyumba yangu, na vifaa vingine vya ujenzi.

Najivunia ya kwamba hatimaye nitaweza kumalizia nyumba yangu. Najivunia kila manunuzi niliyoyafanya. Pia imemsaidia mama yangu na kazi na biashara zake za kila siku.

Pawa Yako ya kushinda kiasi KIKUBWA kama mimi ipo juu zaidi na 500% za bonasi mpya za ushindi hapa betPawa

Jisajili ndani ya sekunde hapawww.betpawa.co.tz/signup

Advertisement

Advertisement