Muntari tena? Songo nje miezi miwili BAADA ya tukio la mshambuliaji wa JKT Tanzania, Edward Songo kugongwa na kipa wa Mashujaa, Patrick Muntari na kuwahishwa Hospitali ya Muhimbili, sasa atatakiwa kukaa nje ya uwanja kwa miezi...