PRIME Simba yakomaa na kiungo CS Sfaxen WEKUNDU wa Msimbazi wamekosa kila kitu msimu huu katika mashindano ndani ya nchi, ambapo katika michuano yote wamepishana kidogo na makombe, kwani Ligi Kuu Bara wangeshinda mechi ya mwisho basi...
PRIME Makombe matatu yawagawa mabosi Yanga ULILIONA vaibu la Yanga juzi kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere pale Dar? Je unajua lile vaibu lilitokana na nini? Kina nani walioteka ile shoo? Sikia, achana na mambo...
Yanga yatumia wimbo wa Ali Kiba kuikebehi Simba Yanga imefika Makao makuu ya mtani wake Simba, hapo kukaa kidogo lakini gumzo ni pale walipoamua kuwakebehi kwa kuimba wimbo wa klabu hiyo uliopigwa na msanii Ali Kiba.
Nyomi la mashabiki lawapokea mastaa Yanga Baada ya mastaa wa Yanga kutoka katika Uwanja wa Ndege, wamepokelewa na nyomi la mashabiki ambao wamejaa barabarani wakiisindikiza timu yao.
Mbosso na Aviola laivu Jangwani Katika makao makuu ya Yanga hapatoshi, baada ya klabu hiyo kumshusha msanii Mbwana Kilungi maarufu kwa jina la Mbosso Khan.
Kipre akunjua moyo kwa Fei Toto WAKATI msimu ukimalizika, staa wa zamani wa Azam FC, Kipre Junior ameweka wazi jina la kiungo mwenzake aliyemkosha zaidi msimu huu na kupiku rekodi yake, akimtaja Feisal Salum.
PRIME Mpanzu, wenzake wana wiki mbili tu SIKU chache tangu washindwe kuhimili kishindo cha Yanga na kukubali kichapo cha mabao 2-0 wakifunga msimu wa 2024-2025 bila taji, mastaa wa Simba akiwamo Elli Mpanzu na Jean Charles Ahoua...
Simba, Yanga mmesikia huko? Sillah aaga Azam! KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Gibrill Sillah amewaaga mashabiki na uongozi wa timu hiyo leo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Diao anateseka kwa Bacca, Job MSHAMBULIAJI wa Azam, Alassane Diao amesema tangu aanze kucheza Ligi Kuu Bara nyota waliompa wakati mgumu ni Ibrahim Bacca na Dickson Job.
Pamba Jiji yaendelea kusajili kimya kimya BAADA ya kumalizana na kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba aliyekuwa Napsa Stars ya Zambia, Larry Bwalya, Pamba Jiji imeendelea kufanya yake kimyakimya ikidaiwa inazungumza na mshambuliaji...