Search

94 results for Kelvin Kagambo :

 1. TUONGEE KISHKAJI: Kontawa alivyorudia makosa ya Fid Q

  MWAKA 2017 Fareed Kubanda Fid Q alitoa ngoma kali ya kuitwa Fresh. Ilikuwa ni ngoma kali iliyotembea yenyewe bila mbwembwe. Na ili kukuhakishia kuwa ilikuwa ni ngoma kali, mmoja wa wasanii ambao...

 2. TUONGEE KISHKAJII: Siku ya Mondi inavyokuwa kutwa nzima

  DIAMOND Platnumz ndiye msanii aliye bize kuliko wote Tanzania. Kwa mwaka anafanya shoo zaidi ya 730. Hiyo ni sawa na wastani wa shoo mbili kila siku. Wasanii wengine hawawezi huo mchakamchaka. Na...

 3. Vipi, tumpe Lamata mabegi ya Kanumba?

  KWENYE tasnia ya filamu Tanzania tunayoiita Bongo Movie hakuna mtu aliyewahi kuonyesha njaa ya kutoboa kumzidi Kanumba. Ukikaa, ukiwaza ndio unajua pengine ndiyo maana mshikaji alizikwa na...

 4. TUONGEE KISHKAJI: Wasanii wanahitaji mbinu za imani, vaibu na miujiza

  NAPITA mtaani, naona nguzo moja ya umeme imejaa vipeperushi vya matangazo. Moja linasema MGANGA KUTOKA HANDENI, safisha nyota, dawa ya mvuto, heshima ya ndoa, kufaulu darasani, pete ya utajiri...

 5. Mapenzi ya wasanii wa Bongo yanavyoharibu biashara za watu

  Ukitaka biashara yako itembee sana tumia wasanii wa Bongo kama mabalozi, sana sana wale ambao wanatrend Instagram. Hao washkaji wana wafuasi wengi sio kitoto, unakuta msanii wa kawaida tu, ana...

 6. TUONGEE KISHKAJI: Mzungu wa Simba amenikumbusha Top C wa ulofa

  MZUNGU anaondoka Simba akiwa na bao moja na hit song moja kubwa kwelikweli. Wimbo wake wa ‘Mlete Mzungu’ umekuwa maarufu kiasi kwamba unapigwa kila sehemu hadi harusini. Ukiwa harusini ikigongwa...

 7. Godzilla alikuwa anatupigisha pindi Waandishi wa Habari

  UKINIULIZA ngoma zangu bora za wakati wote lazima utasikia nimeitaja Kila Wakati ya Golden Jacob Mbunda maarufu Godzilla akimshirikisha G Nako. Ile ngoma ilikuwa ya moto nadhani inawezekana ndiyo...

 8. TUONGEE KISHKAJI: Media imemuonea Ommy Dimpoz

  MTANGAZAJI wa chombo fulani cha habari yuko zake Sumbawanga kwenye majukumu yake ya kiofisi. Mara anakutana na mzee anayejitambulisha kuwa ni baba mzazi wa msanii supastaa wa muziki wa Bongo...

 9. TUONGEE KISHKAJI: Hatimaye Jay Melody amepata mganga mzuri

  ZAMANI wakati Jay Melody anatoa ngoma zake kama vile Goroka nilikuwa nawaambia wanangu, ‘Huyu dogo anajua kuandika, anajua kuimba, ana sauti ya kuimba, anawajua maprodyuza kiasi kwamba anaweza...

 10. TUONGEE KISHKAJI: Asichokijua Shabani Kaoneka kuhusu Mandonga Mtu Kazi

  SHAABAN Kaoneka, bondia aliyempiga Karim Mandoga hivi majuzi alikuwa analalamika kwamba waandishi wa habari ni wanafiki sana, yeye ndiye aliyeshinda pambano, lakini ajabu ni kwamba waandishi...

Page 1 of 10

Next