Congo United yaongoza kwa usajili CONGO United ya Mombasa ndiyo klabu inayoongoza kwa kutema na kusajili wanasoka wengi nchini Kenya.
Kikosi kipya Yanga chaibua fomesheni mpya YANGA imeangalia usajili wa Simba na Azam ikacheka, lakini imetamka kwamba inakuja kwa kishindo na fomesheni ya kutisha msimu ujao, ambayo itaifanya itambe kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.
Tegete ajibu mapigo, Yanga yarudi kileleni YANGA imerejea kwenye usukani wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuichapa Ruvu Shooting 1-0 kwenye mechi iliyochezwa jana Jumatatu kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini hapa.
Paraguay yaweka historia mpya PARAGUAY wamefanikiwa kutimiza ndoto yao ya kufuzu kwa mara ya kwanza kwenye robo fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuichapa Japan kwa penalti 5-3 baada ya kwenda suluhu kwa dakika 120.
Kocha JKT atambia beki yake KOCHA wa JKT Ruvu, Charles Kilinda amesema kurejea kwa mabeki wake wa kati Shaibu Nayopa na George Minja kutaiongezea nguvu timu hiyo kuibana kwenye mechi baina ya timu hizo mbili leo Jumamosi.