Rais Samia ampongeza bingwa wa gofu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemtumia salamu za pongezi kwa mchezaji wa Klabu ya Gofu Lugalo, Hawa Wanyeche, baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya Uganda...
Kassano aondoka Singida BS, Kidawawa amrithi SINGIDA Black Stars imeanza ukurasa mpya wa uongozi baada ya Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Kassano Jonathan, kuwasilisha ombi la kujiuzulu nafasi yake, huku Tabitha Kidawawa akichukua nafasi yake.
Welbeck aanza kazi Chelsea, afanya mazoezi ya kwanza Hong Kong Mshambuliaji mpya wa Chelsea, Danny Welbeck, ameanza rasmi maisha yake ndani ya kikosi hicho baada ya kufanya mazoezi yake ya kwanza nchini Hong Kong, ambako klabu hiyo ipo kwa ajili ya...
Dominik Szoboszlai apata dili nono Liverpool KIUNGO wa Liverpool, Dominik Szoboszlai, anakaribia kusaini mkataba mpya wa muda mrefu utakaoongeza kwa kiasi kikubwa maslahi yake ndani ya klabu hiyo.
Serena, Venus kurejea Cincinnati MASTAA wakongwe wa tenisi, Serena na Venus Williams wanatarajiwa kucheza mashindano ya Cincinnati Open katika mchezo wa wawili wawili mwezi huu baada ya kupewa nafasi maalumu (wild card).
TFF yamfungia Jamal Bakhresa mwaka mmoja Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kamati yake ya nidhamu imemfungia kiongozi wa Azam FC, Jamal Bakhresa kujihusisha na mpira wa miguu kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya...
Dili la Guimaraes lakaribia ARSENAL ipo tayari kuwasilisha ofa ya pauni milioni 70 muda wowote kwa ajili ya nahodha wa Newcastle United, Bruno Guimaraes.
Vigogo Simba kukutana Dar kesho KLABU ya Simba, imetangaza kuwa, kesho Jumatatu kutakuwa na kikao cha Bodi ya Wakurugenzi kujadili ajenda ya Mkutano Mkuu maalum wa Wanachama.
Arteta azima uvumi wa Gyokeres kuondoka Arsenal Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, amevunja ukimya kuhusu hatma ya mshambuliaji Viktor Gyokeres kwa kusisitiza kuwa nyota huyo hatauzwa katika dirisha hili la usajili, licha ya kuhusishwa na...
COREFA yageuka mbogo kwa timu Pwani CHAMA cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Pwani (COREFA), kimetoa amri kwa timu zote mkoani humo kuhakikisha zinakuwa na makocha rasmi na itakayokiuka haitoruhusiwa kushiriki mashindano yoyote ya soka...